KIDUNDULIMA
JF-Expert Member
- Aug 18, 2010
- 966
- 537
Imenishangaza sana leo kwenye uwanja wa Lake Tanganyika, Kikwete kutumia siku ya kuzimisha mwenge wa uhuru kufanya kampeni. Alikuwa anatoa ufafanuzi wa tatizo la maji Kigoma. Yeye amesema kuwa alichomekewa na msherehejaji ili suala la maji alitolee ufafanuzi. Cha ajabu yale aliyokuwa anayatolea ufafanuzi yalikuwa kwenye hotuba yake yameandaliwa. Alisoma data za mahitaji ya maji kwa meter qubic, uchache wa matenki kuhifadhia kwa qubic meters , capacity ya majenereta na uchakavu wa mabomba, N.k. Hivi kikwete hakuwa kigoma juzijuzi kukampeni kwani watu wameshasahau maelezo aliyoyatoa kuhusu maji?
Pia kama kawaida yao wavaa majani ya kijani walikuwepo kuhakikisha kuwa uwepo wa chama unajidhihirisha waziwazi uwanjani hapo
Kwa Kweli watakampeni kwa stahili za namna Mbali lakini mwaka huu cha moto watakiona