kuzalisha tu bila kuoa

Tembea na wanawake au uzae nao jamii itakuchukulia Mtu usiyefaa katika jamii kwa ubwege wako.
Kumbuka mwisho wa siku utaoa tu Mkuu.

:->ALWAYS LIFE IS PLAN:-"
 
asalam aleikuuum
mi ni kijana wa miaka 30...nina watoto wawili na wanawake tofauti...hivi nikiamua kulea watoto tu bila kuoa mwanamke mwingine jamii itanichukuliaje?

Utakw umefanya jambo la maana mno zalisha tu hao hawana maana usithubt kuoa utajutaaa
 
asalam aleikuuum
mi ni kijana wa miaka 30...nina watoto wawili na wanawake tofauti...hivi nikiamua kulea watoto tu bila kuoa mwanamke mwingine jamii itanichukuliaje?

Kwani hivyo ambavyo una watoto wawili kwa wa mama tofauti jamii inakuchukuliaje?
 
Back
Top Bottom