Kuzaa Watoto Mapacha kuna Raha zake jamani....



Afrika kuna ndugu na jamaa wa kusaidia kulea, lakini maisha ya ughaibuni kama mfuko hauruhusu ni karaha sana kulea maana yake unababa uzito wote wa kulea peke yako, serikali inachokusaidia ni kulisha na mafao mengine lakini si kutoa yaya wa kulea. Kazi kweli kweli.

Yote ni furaha kwani ni zawadi nadra sana ambayo Mungu huwajalia wachache sana.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom