OK, but I dont think its good to be alone.I've born alone and I'm supporting myself and my family, I'm also happy to be alone.
I dont think so, who's going to take care of you when you're old."Fazaa, if you have a good pension scheme and if you have prepared you retreat you won't need to be a burden for your kids in your old age.
wana jf mimi mwenzenu nina mtoto mmoja tu,na huu ulikuwa ni mpango wa mimi na mke wangu kabla hata hatujaoana,mtoto wetu sasa ni mkubwa ana miaka 14,am not regreting for that and we are all quite happy,sasa kinachonishangaza mimi ni kuwa inakuwa kama kero,yaani nikutana na ndugu,marafiki,ninapokuwa kazini na hata watu wangine tu nisio na uhushiani nao wa karibu wamekuwa wakinilaumu mimi hata mke wangu "kwanini mmezaa mtoto mmoja tu si muongeze angalau mwingine",hili neno kwangu sasa naona ni kama kero kwangu,hebu nishaurini jamani hawa watu niwape majibu gani ili niwaridhishe.
Stephot nikuulize vijiswali:
1. Baada ya kumpata mwanenu ulifanya vasectomy au mkeo alifunga mirija?
2. Ukimwona mtu amebeba kichanga unajisikiaje? do you feel some longing? mkeo je ashakwambia huwa anajisikiaje?
3. Whose idea it was ya kuwa na mtoto mmoja,lilikuwa wazo lako au la mkeo,maana kati yenu mmoja ndo alilianzisha.
naomba majibu kisha tuendelee na kupeana ushauri.
Kosa kubwa sana kuzaa mtoto mmoja sababu hatakuwa na mtu wa kumsupport siku za mbele...Hakuna kitu kama damu.
Wacheni kuwainga wahindi na wazungu wale kule njaa zinawasumbua.
kaka achana nao,yanayokukuta wewe ndioyanayonikuta mimi,ila kumbuka maisha niyenu na si yao.nahata ukizaa mwingine utaambiwa hatoshi,achana nao.mimi nisha dharau hivyo na nenepa tu.
Sasa the secretary unashauri nini???? mbaya kutokuwa na mtoto mtoto si yupo???,pia mimi humuonea mkewangu huruma anavyopata tabu kipindi hicho,kwani ningeweza kumpokea hakika hata kumi niinge thubutu.