Kuzaa/kuzaliwa mtoto handsome au beautiful

kamikaze

JF-Expert Member
Jan 25, 2011
422
610
Salaaam wana jf, kuna kitu nimekuwa nikijiuliza hivi kuzaa/kuzaliwa mtu handsome kwa wanaume na beutiful kwa wanawake je nini sababu?

1. Je inategemea na wazazi kuwa beutiful na handsome?
2.Ni uumbaji wa Mungu?
3. Ni lishe unayopatiwa mtu toka mdogo?

Ni uzuri wa baba na mama, wa tokea asili. Ndio sababu ya kupata kizazi kizuri.

Salaaam wana jf, kuna kitu nimekuwa nikijiuliza hivi kuzaa/kuzaliwa mtu handsome kwa wanaume na beutiful kwa wanawake je nini sababu?

1. Je inategemea na wazazi kuwa beutiful na handsome?

2.Ni uumbaji wa Mungu?

3. Ni lishe unayopatiwa mtu toka mdogo?

Nilivyofundishwa na Profesa Mapunda wa UDSM katika archeology..Wana archeologist wanaamini evolution inaendelea kutokea hasa linapokuja swala la ubiut na uhendisome wa watoto.watoto wanapozaliwa ni lazima wawe wazuri kulikon wazazi wao(accodin 2 archeological evolution)

viko vitu viwili kwanza ni asili ya wazazi ila kipo cha pili nacho ni lishe na matunzo(mazingira) mazuri ayapatayo mtoto

Kwani ww ni handsome au beautiful?..n wot abt ur origin ni lishe au nature ya wazaz? Jibu sasa..lol?

Uzuri au u-handsome/u-beauty ni nini? wengine ukiwa mweusi wa mpigo ndio uzuri, kwa wengine ukiwa cha-rangi (light skin) ndio uzuri. Kwa wengine ukiwa tall ni mzuri, wengine ukiwa skinny basi wewe mzuri; ukiwa na macho ya usingizi umemaliza kazi.....ukifungasha kiti cha baiskeli unamaliza biashara; kwa wengine usafiri (miguu) hapo mwisho! Sasa kwa maana hiyo hakuna jibu sahihi kwa swali lako. Wengine huona uzuri kwa vile mtu amevaa vizuri/msafi. "Ubyuti umo ndani ya jicho la mtazamaji" Angalia wazungu, kwao skinny/tall huyo ndio wanamfagilia, kwa waafrika kama huna double diff basi huna soko kwa upande wa wanawake, na kwa wanaume kifua (8 packs)/urefu ndio mtaji.

wewe umenena vema. Wengine. Hapo juu ni magonjwa ya asili vichwani ndo yanafanya kazi.

wewe umenena vema. Wengine. Hapo juu ni magonjwa ya asili vichwani ndo yan kichwa chako kinaongozwa na matangazo! Unazungumzia hisia badala ya kuongozwa na utashi,(mind setup) lol!

uzuri ni mtazamo wako wewe, watoto wengi wanazaliwa wakiwa wazuri unless wawe na deformities zinazoweza kupunguza sifa zao lakini watoto wote ni wazuri
sehemu kubwa uzuri ni phenotypic, siamini kama ni genotypic character, kwani mtoto ni malezi na matunzo,

Back
Top Bottom