Kuzaa baada ya 40's!! Inakuwaje?

All in all earlier is better, inapendeza unapofikisha miaka 50 na mtoto/ watoto wako anakuwa amemaliza Degree yake. tusidanganyane kwenye hili kuchelewa kuzaa kunasababishwa na matatizo mchanganyiko ya kimaisha lakini si matakwa yetu binadamu.
 
kuna watu wanatafuta watoto hawapati ila miujiza ya mungu unashangaa mtu anagonga 42 na kubeba mimba raha iliyoje
Hapo utaomba mungu akupe miaka 70 ya kwenye bible akuongezee na mingine 10 utunze mwanao
 
kuna watu wanatafuta watoto hawapati ila miujiza ya mungu unashangaa mtu anagonga 42 na kubeba mimba raha iliyoje
Hapo utaomba mungu akupe miaka 70 ya kwenye bible akuongezee na mingine 10 utunze mwanao
Ni kweli kama Lady Jaydee, nadhani huyu dada hapungui miaka 45.
 
kuna watu wanatafuta watoto hawapati ila miujiza ya mungu unashangaa mtu anagonga 42 na kubeba mimba raha iliyoje
Hapo utaomba mungu akupe miaka 70 ya kwenye bible akuongezee na mingine 10 utunze mwanao
Kweli Mungu ni mwema, ila mtu kama huyo anaweza asipate bahati ya kushiriki maisha ya mwanae kwa kiasi kikubwa. Kwahiyo wale wakupanga wajitahidi iwe mapema kiasi.
 
Na kukimbizana kwenye majani na mwanae. . .raha iliyoje.

wanawake wa zis generation awawez bora sisi vijana wa kiume,wasichana/wanawake
uyo mchina chini ya mgongo na mwingne kifuani watapata wapi punzi ya kukimbia zaidi ya kukaa kwenye sofa na remote kukariri majina ya waigizaji
 
wanawake wa zis generation awawez bora sisi vijana wa kiume,wasichana/wanawake
uyo mchina chini ya mgongo na mwingne kifuani watapata wapi punzi ya kukimbia zaidi ya kukaa kwenye sofa na remote kukariri majina ya waigizaji

Hahahaha. . . acha matusi ya reja reja bana, mbona wengine tunafanya?
 
........hivi mtu unapozaa after 40, tena mtoto wa kwanza unapata kwenye umri huo unafikiri nini?

Siku hizi baadhi ya wanawake kwa wanaume wanapata mtoto kwenye 40 au zaidi ya hapo.......je hawa watu hawafikiri baada ya miaka 15-20 si watakuwa wameezeka? Huyo mtoto si atakuwa kama mjukuu!! Vile vile kwenye umri huo utakuwa umestaafu.......utaleaje huyo mtoto, kama huna hata saving utasomeshaje huyo mtoto ili aje kuwa maisha bora?

Najiuliza tu!!

you are too theoretical!hv hujui mtoto unapata pale mungu anapoamua kukupa?unadhan watu wanaozaa late wanapenda?complications za uzaz ni nyng wala usimshangae mtu! Kama wewe ulipata mapema shukuru sana mungu wako!
 
Ndio maana sisi wengine tumeozeshwa tulipo balee tu age 21yrs..

Sasa hivi watoto wangu tunasukuma gozi pamoja wengi wanafikiri ni mtu na kaka yake mkubwa lol

Mwanzoni nilimuona dingi noma lakini sasa hivi aisee nafurahia sana "Walikuwa sawa kabisa"
 
......Kama una matatizo ya uzazi hiyo inaeleweka, ila kuna wengine wanaamua tu kuchelewa kuzaa, wanasema wanaponda kwanza maisha hii kwa wanawake/wanaume.

ukija upande wa kike hawa ndio wale kutwaaaa kutumia madawa ya kuzuia mimba, au kutoa kabisa hizo mimba. Wanaona kuzaa mapema kama kujizeesha.
Ndio hapo, wanapokuja kukumbuka shuka kumbe kumekucha.
Hapo nimekupata Pretty.
 
There's a saying "A bachelour lives like a king and dies like a beggar, a family man lives like a beggar but dies like a king"
Kuna vijana wengi hawapo tayari kuoa au kuolewa lakini wanaoa kwa kufuata mkumbo au kulazimishwa kwa kigezo cha umri matokea kwenye ndoa zao unakuta zinatawaliwa na wasi wasi na kele kele zisizoisha.
 
Kweli kuzaa una miaka 40 noma boro kama sisi tulipata watoto wakati tuna miaka 25 na wife ana miaka 22 super kabisa.
 
mimi nina 54 yrs,..nategemea kupata mtoto wa kwanza mwezi juni'12,....hapo je?
 
Siku hizi watau wanachelewa kuoana so haina tabu hata 50 kama afya ya mama inaruhusu
 
Kwa hiyo unataka kuniambia una mshangaa jayz au mariah.Nadhani majibu ushapata
 
Kuwa na baba ambae hata hawezi cheza mpira na mtoto wake is soooooo not fun. Binafsi nadhani ni vizuri watu wakajitahidi kupata watoto wakati bado wana nguvu za kutosha, uzee ukija wanapumzika.

kwa msingi huu mie nitabakai na huyu mmoja ikiwa sitapata mwingine within 3 yrs
 
Pretty mbona hata mimi nimezaa nikiwa na 40's, mambo ni mengi yanayochangia hali hii na sikwamba watu wanapenda kupata mtoto akiwa 40's (kwa wanawake zaidi). Mwanaume hata kama ana miaka 40+ mwanamke atakaezaa nae atakuwa below hiyo age
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom