Kuyafanya Meno Yenye Rangi Kuwa Meupe (Teeth Whitening)

Ushauri: Kumbuka matumizi ya Colgate na Whitedent pia siyo sahihi sana kwani zina flouride nyingi ambayo haitakiwi mwilini. Wapo watu wanaweka mswaki mdomoni na kuangalia kipande cha habari katika TV hadi kikiisha ndo anaendelea kusafisha meno. wapo pia watoto wanaopenda Colgate na wakati mwingine huwaambia kina mama wawaongezee kwani ni tamu na mama kutojua madhara humimina tu kwenye mswaki na kumwambia aende kusafisha meno. Fluoride tuipatayo kwenye maji inatosha kabisa ktk mwili na ikizidi huathiri pia IQ(Intelligence Quotient) ya mtoto. Kutokana na ubaya wa Fluoride iliyopo imeandikwa kuwa inatakiwa kutumia Colgate/Whitedent bila kumeza na isizidi dk 1. Watu hawazingatii hilo na wala hawafahamu. Mimi nashauri kama una uwezo wa kununua dawa isiyo na fluoride iitwayo Forever Bright toothgel ni bora ikawa ndo unaitumia nyumbani sbb haina fluoride, huacha meno yako yaking'aa na pia huondoa harufu mbaya mdomoni, kama fizi zina shida huondoa tatizo na pia vidonda mdomoni. Vilevile ukimeza haina madhara na ni dawa pia kama tumbo linasumbua. Inaweza kutumika kuondoa fungus pia. gharama yake ni chee sana kulinganisha na matumizi yake. Ni sh 13000/- tu. Tuwasiliane kwa healthwealthfirst@gmail.com pia 0713889162

nilijua tu itashia kwa hawa forever mara tngp sijui nini..
 
mkuu umeamua na wewe kutupia breaking news!!!!ha ha ha ha safi sana!
 
Meno yangu yamekosa weupe halisi hasa kutokana na nilipokuwa kijana mdogo sikuwa nikipenda kupiga mswaki. Hali ya unjano katika meno yangu ipo mpaka hivi sasa. Je, naweza kutumia nini au dawa gani meno yawe absolute white tena?
Msaada please.
 
Pole kwa tatizo lako kwani huwafanya wengi kukosa confidence mbele za watu subiri wataalam waje
 
Nenda kwa dentist wayakwangue na yatakuwa meupe. Wala huna haja ya kukosa raha na confidence. Ni simpo kuondoa huo ugaga unaokusumbua. Nadhani hii itasaidia.
 
Asante kwa ushauri mkuu,ninayo maswali.
Je kwa hapa Mjini Bongo Dentist naweza mpata wapi au kila Hospitali huwa wanakuwepo?
Vipi kuhusu gharama zao?
 
nishasikiaga njia flani ya kusugua meno kwa mkaa,na kuna dada alikuwaga anafanya hivyo kila siku,ila sijafanikiwa kuona matokeo yake kwa sababu alihama.....kwa dentist kuna kitu kinaitwa "teeth scaling" kama sikosei,ina gharama kubwa kiasi,si chini ya 50 thou,ila its the perfect solution,tembelea dentist yoyote mzuri kwenye hospitali atakusaidia.
 
Ni bahati mbaya kuwa mie nilitoka huko miaka mingi. Nakumbuka kwa Dar maeneo ya Suwata Shule ya Uhuru kulikuwa na mzee mmoja wa kichaga. Lakini kwa ukubwa wa Dar lazima watakuwapo wengi, nendo hospitali yoyote watakuelekeza ni wapi pa kupata dentist. Pia kwa Afrika ni cheap kusafishwa meno tofauti na Ulaya.

Asante sana mkuu ubarikiwe
 
Thank you very much stay blessed.
 
Nenda mikocheni TMJ hospital, consultation ni TZS 20,000. Kusafisha meno ni TZS 120,000. Wahi ukajionee maajabu ya dunia, jinsi utakavyomwaga vitu .....na hivi umeniambia kwako mswaki ilikuwaga mpaka ukimbizwe....basi utatema wese la ajabu wakishakupiga chemicals zao.
 
Sehemu ingine ni hospitali ya waturuki iliyoko mikocheni kwa waturuki, ila hawa wako ghali sana. Consultation ni TZS 30K, kusafisha ni TZS 80 - 160K.
 
Back
Top Bottom