Kuweza kukaa na mkojo mda mrefu

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,414
Mimi nina hulka hiyo na huwa sijitambui ni marafiki na jamaa ndo huwa wanani daught,mfano nikikaa na marafiki tunakunywa bia mimi mpaka wote waende mara 4 mi mara moja , lakini utotoni nilikuwa kikojozi hadi 7 years,pia hata in sex kukojoa huwa inachukua 30 min , yaan hata nikikaa na mtu asienijua huwa nagundua ataponiuliza kwa nn nakaa mda bila ulination,msaada madaktari
 
Yawezekana hilo ni tatizo la kiafya linalohitaji kupelekwa hospitali. Ni bora uende, kama hakuna shida uthibitishiwe na madaktari.
 
kacheki figo huenda unamatatizo kuhusu kuchelewa bao sidhani kama kunauhusiano
 
Nadhani nikupe hongera zaidi ya pole esp hapo uliposesema 30 mins kwenye sex hahah, sdhan ka ni ubovu inawezekana una kibofu kizuri anywayz kama una wasi ni better kumuona dr ili upate uhakika
 
Back
Top Bottom