Kuweni makini, utapeli mpya umeibuka Dar

Pole sana mzee lakini kumbuka pesa ni ngumu sana kuipata hakuna mtu anayeweza kukupa deal ya pesa nyingi kirahisi. Watanzania tunapenda sana shotcut kupata utajili. Vijana tufanye kazi kwa bidii nothing good come easy.
 
Ndugu wapendwa,

Story ifuatayo ni ya kweli maana imenitokea mimi binafsi jana tarehe 10/18/2011. Najua kwa kiasi fulani itakuwa inaninizalilisha kwa kutokuwa makini lakini naona ni vyema niwashirikishe rafiki zangu ili msije mkatapeliwa kama mimi na wengine wengi wameshatapeliwa kama vile ndugu yake Galeba, laiti Galeba angeweza kutuelezea yaliyomsibu ndugu yake labda na mimi ningeweza kuepuka utapeli huu. Kinchosikitisha matapeli wenyewe ni watu wanaotufahamu vizuri.

Mnamo muda wa saa tano asubuhi nikiwa nyumbani (nipo likizo) nikapokea simu nisiyoifahamu kutoka kwa mtu ambaye alijitambulisha ananifahamu, na kwa jinsi alivyonitaja kwa jina na career background details zangu sikuwa na shaka kwamba hanifahamu. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

TAPELI: Mr. Alex Matovu habari za siku nyingi.
Mimi: Nzuri
Tapeli: Vipi bado unafanya kazi Blue Financial Services?
Mimi: Hapana, nani mwenzangu?
Tapeli: John, nilikuwa nafanya kazi Wizara ya elimu, na uliwahi kunisaidia nikapata mkopo, ila kwa sasa nipo World food programme, Kigoma kama Chief supplies officer.
Mimi: okay sasa nikusaidie nini John (ukweli nikwamba sikumkumbuka ila kwa kuwa tulikuwa tunatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali, siku jiuliza sana, after all alikuwa hajasema anachotaka)

Tapeli: Sasa nina issue naomba unisikilize kwa makini, kama unavyofahamu WFP tunatoamisaada ya vyakula hivyo tuna maghala makubwa ya kuhifaadhi chakula, hivyo ili kuhakikisha vyakula haviharibiki huwa tuna weka presavative inayoitwa Damoline Liquid solution made in Sweeden, hii inapatikana MSD na kwa licensed dealers kama Mohamedi Enterprises. Kwahiyo tuli float tender mwaka jana na supplier aliyeshinda tulikubaliana anipe 10% lakini baada ya ku supply hayo madawa akanidhulumu na kunitisha kuwa iwapo nitamdai hiyo 10% angeniripoti kwa mabosi wangu. Kwa hiyo sikuwa na cha kumfanya bali kusubiri contract yake iishe alafu nimtafute supplier mwingine. Sasa ndio nikaona nikupigie ndugu yangu maana nakujua wewe hii kazi utaweza kuifanya ukizingatia unalipwa cash on delivery!

NOTE: nimeshawahi ku deal na supplies officer wengi hivyo sikuwa na doubt yeyote, bali nikaona hii is just another deal kama ambazo nimeshawahi kufanya successfully.

Mimi: Okay sasa unataka nifanye je?

Tapeli: Unachotakiwa kufanya ni kwenda MSD umuone Dr. Shija, huyu ndiye mkuu wa hapo na ndiye aliyekuwa supplier wetu wa zamani aliye ni dhulumu, sasa kwa kuwa sitaki kumpa kazi tena, wewe uende ujifanye unaulizia hiyo liquid solution, na u negotiate ujue atakuuzia shillingi ngapi. Kwahiyo nakutumia simu yake mpigie muongee akupe quotation, alafu akisha kupa bei nipigie ili nikuelekeze cha kufanya.

Basi wandugu nikampigia dr. shija, mwanzoni shija ana hesitate kuzungumza na mimi aki pretend kuwa hapendi kuongea na strangers na akataka kujua namba yake nimeipataje, sasa kwa kuwa siwezi kumwambia ukweli kuhusu aliyenipa namba yake, ikabidi na mimi niwe muongo kwa muda, nika pretend kuwa mimi ni mkulima na nahitaji hiyo presavative kwa ajili ya maghala yangu yaliyopo arusha. Basi akawa na imani na kukiri kuwa anayo stock yakutosha, na hiyo liquid inauzwa kwa pair ya chupa mbili zenye ujazo wa 1000mls, kila pair ni 1.2m. Sasa angalia nilivyoingia katika mtego, baada ya kunipa bei ni kaomba punguzo na akasema atauza kwa 1million.

Nikafanya kama nilivyoelekezwa na John wa WFP kuwa baada ya kupata bei nimjulishe nilivyomjulisha akasema kinachofuata ni kuwa mimi nitauza kwa USD. 1700, na tofauti kwa maana ya faida tutagawana, hivyo nisubiri aniunganishe kwa bosi wake for further final details.

Basi wandugu kama mnavyonijua katika issue za fwedha, nikachukua calculator ya simu ili nijue deal ina shillingi ngapi, hela zilivyokuwa nyingi hata calculator iligoma, maana WFP wanahitaji 50 pairs @ usd 1700, mimi nanunua kila pair kwa 1million ambayo ni kama usd 770 hivyo difference usd 930 x 50 pairs = USD 46500, ALAFU tunagawana pasu pasu. Guys you can imagine what was going on in my head!

Basi kweli muda si mrefu nikapigiwa simu na huyo bosi wake ambaye ni mzungu na mazungumzo yalikua kama ifuatavyo:

MZUNGU: This is Mr. Scheinder from WFP, are you the new supplier?
MIMI: YES
MZUNGU: Do you have enough stock of Damoline Liquid solution, we are looking for 50 pairs?
MIMI: Yes I have sufficeint stock
Mzungu: what is your price per pair?
Mimi:$1700
Mzungu: ahaaaaaaaa thats a very good price, do you want to be paid in dollars or TZS
MIMI: Dollar of course, you how how unstable the local currency is ( Hapo tena na mimi nataka kuonyesha kuwa ni International businessman)
Mzungu: No problem, we have enough dollars, you want to be paid cash or by cheque?
Mimi:Cash
Mzungu: Okay no problem, now listen very carefully mr. new supplier we need this liquid urgently possibly today, and since you have said you have enough
stock we are taking off this morning from Kigoma coming to Dar, please arrange for the transport to take us to Movenpick, we will pay usd. 200 for your fuel, but most importantly make sure you bring one pair of the sample with you.
Mimi: No problem at all I have been in this business for quite sometime now you can be sure everthing will be fine.

Masikini bila kujua nimeingizwa kingi, nikachukua cheque book, nikaandika cash withdraw 1million ili nikanunue sample yakwenda kuwaonyesha wateja wangu. Baada ya kutoka bank nikampigia dr. shija ili aniuzie hiyo sample, akasema kwa sasa ametoka ofisini ila sample anazo katika gari na alikuwa anaelekea Mwananyamala hosp, then Magomeni alafu Muhimbili, hivyo tukutane Magomeni hosp. Yaani jinsi nilivykuwa naendesha gari basi hata kama ni mashindano ningeweza kushinda, basi mimi mbio mpaka magomeni hosp namsubiri dr. shija. Nikampigia akasema yupo ndani hospitalini na yupo na mabosi wake asingeweza kutoka ila anamtuma kijana wake nimpe hizo fedha na yeye anipe hizo dawa, kweli ikawa hivyo kijana akaja akaingia kwenye gari nikamwambie anipe hizo sample kwanza nikazisoma ziko exactly kama WFP wanavyotaka! NIKAKABIDHI HELA 1 MILLION. Bila hata aibu yule kijana akaniomba 50,000/= nikamwambie asijali maana deal kubwa itakamilishwa saa nane.

Kwa kuwa wageni wangu walishaniambia niwaaandalie usafiri, nikampigia dreva tax wangu aje airport saa nane, nikamuuliza bei kutoka airport mpaka movenpick ni ngapi akasema 25,000 nikamwambia usijali ntakupa 50,000/=!!!!!!!!!!!!! (kumbuka mimi ntalipwa usd 200 ya usafiri).

Basi mimi mbio nikaenda airport terminal one kusubiri ndege ya WFP ili tumalize biashara, nilipofika kuulizia reception nikaambiwa hakuna kitu cha namna hiyo na mimi ni mtu wa 10 kutapeliwa, basi tena nikajirudia kimya kimya. Nikaenda kula chefs pride nikamsimulia jamaa mmoja yaliyonisibu, kabla sijamaliza akasema hata ndugu yake ametapeliwa wiki iliyopita, nikampigia Galeba akasema yeye jamaa yake alipigwa 3.5m last week.

Taarifa nilizonazo mpaka nikuwa hii ni network ya wahaya na mpaka sasa ni wahaya wengi wameishaibiwa ukilinganisha na makabila mengine.

So guys thats my story for yesterday!
outdated.
 
Hayo ndo madhara ya kukaa na hela benki zisizokuwa na kazi na matokeo yake unaishia kuwazawadia watu kwa namna hii, ama kweli kila mtu hula kwa urefu wa kamba yake, mimi nilishauziwa toy ya simu ubungo ni kawaida kwa binadamu kabla hujafa hujaumbika. Ambaye hajawahi tapeliwa asijitape zamu yake yaja. My take usingekuwa na kiasi hicho cha pesa benki usingeingia mtego huop kirahisi. Hiyo ni intelligent network
 
Lakini hii story niliisoma kwanza michuzi mwaka jana au juzi mwisho mahali hukohuko kigoma, mtu huyohuyo n.k

ukweli ni bora kuwa wakweli sio wakwere.

By the way tunashukuru kwa kutukumbusha maana sio wote waliowahi kuisoma.
 
Sasa ww uliyesema kwamba ame paste kutoka mahali.. wat if yy ndiye aliyeandika na hapo ulipotoa ndo amepaste kutoka jamii forum..? Hovyooooo

Tatizo wewe ni mvivu wa kusoma au unachosoma huwa huelewi, soma hizo tarehe za matukio ndo utaweza kujua, pia huoni aibu members wengi wanavyosema ni zaidi ya mara ya nne kupostiwa hapa? wewe ndo hovyoooo kabisaa.

Ndugu wapendwa,

Story ifuatayo ni ya kweli maana imenitokea mimi binafsi jana tarehe 10/18/2011.
 
Sasa ww uliyesema kwamba ame paste kutoka mahali.. wat if yy ndiye aliyeandika na hapo ulipotoa ndo amepaste kutoka jamii forum..? Hovyooooo

Tofautisha na tarehe nyingine hii chini na uache ukilaza wa hovohovyo,

Story ifuatayo ni ya kweli maana imenitokea mimi binafsi jana tarehe 11/11/2009
 
Mkuu pole sana, nikama natizama movie hivi! kweli inavyo onesha jamaa wako organized. Nashauri Moderator waweke forum ya kulipoti mbinu za utapeli na mtu akitapeliwa na au kusikia stori airushe humu tuweze kujikinga.

Nakushukru sana kwa ujasili ulio uonyesha kutupatia taarifa hii, Itatusaidia wengi
 
Hii stori tumechokananayo sasa,kila mtu anaileta hapa nakusema imemtokea yeye,hii itakua ni mara ya4 kuletwa hapa jf na watu tofauti stori ileile.usanii mtupu.
Acha hizo... Mbona wewe jina lako tunaliona mara nyingi humu JF na hatukuchoki? Kumbuka kuna wanaojiunga sasa, ukizingatia kuwa hakuna anayejiunga na JF na kuanza kupitia thread za nyuma
 
Ndugu wapendwa,

Story ifuatayo ni ya kweli maana imenitokea mimi binafsi jana tarehe 10/18/2011. Najua kwa kiasi fulani itakuwa inaninizalilisha kwa kutokuwa makini lakini naona ni vyema niwashirikishe rafiki zangu ili msije mkatapeliwa kama mimi na wengine wengi wameshatapeliwa kama vile ndugu yake Galeba, laiti Galeba angeweza kutuelezea yaliyomsibu ndugu yake labda na mimi ningeweza kuepuka utapeli huu. Kinchosikitisha matapeli wenyewe ni watu wanaotufahamu vizuri.

Mnamo muda wa saa tano asubuhi nikiwa nyumbani (nipo likizo) nikapokea simu nisiyoifahamu kutoka kwa mtu ambaye alijitambulisha ananifahamu, na kwa jinsi alivyonitaja kwa jina na career background details zangu sikuwa na shaka kwamba hanifahamu. Mazungumzo yalikuwa kama ifuatavyo:

TAPELI: Mr. Alex Matovu habari za siku nyingi.
Mimi: Nzuri
Tapeli: Vipi bado unafanya kazi Blue Financial Services?
Mimi: Hapana, nani mwenzangu?
Tapeli: John, nilikuwa nafanya kazi Wizara ya elimu, na uliwahi kunisaidia nikapata mkopo, ila kwa sasa nipo World food programme, Kigoma kama Chief supplies officer.
Mimi: okay sasa nikusaidie nini John (ukweli nikwamba sikumkumbuka ila kwa kuwa tulikuwa tunatoa mikopo kwa wafanyakazi wa serikali, siku jiuliza sana, after all alikuwa hajasema anachotaka)

Tapeli: Sasa nina issue naomba unisikilize kwa makini, kama unavyofahamu WFP tunatoamisaada ya vyakula hivyo tuna maghala makubwa ya kuhifaadhi chakula, hivyo ili kuhakikisha vyakula haviharibiki huwa tuna weka presavative inayoitwa Damoline Liquid solution made in Sweeden, hii inapatikana MSD na kwa licensed dealers kama Mohamedi Enterprises. Kwahiyo tuli float tender mwaka jana na supplier aliyeshinda tulikubaliana anipe 10% lakini baada ya ku supply hayo madawa akanidhulumu na kunitisha kuwa iwapo nitamdai hiyo 10% angeniripoti kwa mabosi wangu. Kwa hiyo sikuwa na cha kumfanya bali kusubiri contract yake iishe alafu nimtafute supplier mwingine. Sasa ndio nikaona nikupigie ndugu yangu maana nakujua wewe hii kazi utaweza kuifanya ukizingatia unalipwa cash on delivery!

NOTE: nimeshawahi ku deal na supplies officer wengi hivyo sikuwa na doubt yeyote, bali nikaona hii is just another deal kama ambazo nimeshawahi kufanya successfully.

Mimi: Okay sasa unataka nifanye je?

Tapeli: Unachotakiwa kufanya ni kwenda MSD umuone Dr. Shija, huyu ndiye mkuu wa hapo na ndiye aliyekuwa supplier wetu wa zamani aliye ni dhulumu, sasa kwa kuwa sitaki kumpa kazi tena, wewe uende ujifanye unaulizia hiyo liquid solution, na u negotiate ujue atakuuzia shillingi ngapi. Kwahiyo nakutumia simu yake mpigie muongee akupe quotation, alafu akisha kupa bei nipigie ili nikuelekeze cha kufanya.

Basi wandugu nikampigia dr. shija, mwanzoni shija ana hesitate kuzungumza na mimi aki pretend kuwa hapendi kuongea na strangers na akataka kujua namba yake nimeipataje, sasa kwa kuwa siwezi kumwambia ukweli kuhusu aliyenipa namba yake, ikabidi na mimi niwe muongo kwa muda, nika pretend kuwa mimi ni mkulima na nahitaji hiyo presavative kwa ajili ya maghala yangu yaliyopo arusha. Basi akawa na imani na kukiri kuwa anayo stock yakutosha, na hiyo liquid inauzwa kwa pair ya chupa mbili zenye ujazo wa 1000mls, kila pair ni 1.2m. Sasa angalia nilivyoingia katika mtego, baada ya kunipa bei ni kaomba punguzo na akasema atauza kwa 1million.

Nikafanya kama nilivyoelekezwa na John wa WFP kuwa baada ya kupata bei nimjulishe nilivyomjulisha akasema kinachofuata ni kuwa mimi nitauza kwa USD. 1700, na tofauti kwa maana ya faida tutagawana, hivyo nisubiri aniunganishe kwa bosi wake for further final details.

Basi wandugu kama mnavyonijua katika issue za fwedha, nikachukua calculator ya simu ili nijue deal ina shillingi ngapi, hela zilivyokuwa nyingi hata calculator iligoma, maana WFP wanahitaji 50 pairs @ usd 1700, mimi nanunua kila pair kwa 1million ambayo ni kama usd 770 hivyo difference usd 930 x 50 pairs = USD 46500, ALAFU tunagawana pasu pasu. Guys you can imagine what was going on in my head!

Basi kweli muda si mrefu nikapigiwa simu na huyo bosi wake ambaye ni mzungu na mazungumzo yalikua kama ifuatavyo:

MZUNGU: This is Mr. Scheinder from WFP, are you the new supplier?
MIMI: YES
MZUNGU: Do you have enough stock of Damoline Liquid solution, we are looking for 50 pairs?
MIMI: Yes I have sufficeint stock
Mzungu: what is your price per pair?
Mimi:$1700
Mzungu: ahaaaaaaaa thats a very good price, do you want to be paid in dollars or TZS
MIMI: Dollar of course, you how how unstable the local currency is ( Hapo tena na mimi nataka kuonyesha kuwa ni International businessman)
Mzungu: No problem, we have enough dollars, you want to be paid cash or by cheque?
Mimi:Cash
Mzungu: Okay no problem, now listen very carefully mr. new supplier we need this liquid urgently possibly today, and since you have said you have enough
stock we are taking off this morning from Kigoma coming to Dar, please arrange for the transport to take us to Movenpick, we will pay usd. 200 for your fuel, but most importantly make sure you bring one pair of the sample with you.
Mimi: No problem at all I have been in this business for quite sometime now you can be sure everthing will be fine.

Masikini bila kujua nimeingizwa kingi, nikachukua cheque book, nikaandika cash withdraw 1million ili nikanunue sample yakwenda kuwaonyesha wateja wangu. Baada ya kutoka bank nikampigia dr. shija ili aniuzie hiyo sample, akasema kwa sasa ametoka ofisini ila sample anazo katika gari na alikuwa anaelekea Mwananyamala hosp, then Magomeni alafu Muhimbili, hivyo tukutane Magomeni hosp. Yaani jinsi nilivykuwa naendesha gari basi hata kama ni mashindano ningeweza kushinda, basi mimi mbio mpaka magomeni hosp namsubiri dr. shija. Nikampigia akasema yupo ndani hospitalini na yupo na mabosi wake asingeweza kutoka ila anamtuma kijana wake nimpe hizo fedha na yeye anipe hizo dawa, kweli ikawa hivyo kijana akaja akaingia kwenye gari nikamwambie anipe hizo sample kwanza nikazisoma ziko exactly kama WFP wanavyotaka! NIKAKABIDHI HELA 1 MILLION. Bila hata aibu yule kijana akaniomba 50,000/= nikamwambie asijali maana deal kubwa itakamilishwa saa nane.

Kwa kuwa wageni wangu walishaniambia niwaaandalie usafiri, nikampigia dreva tax wangu aje airport saa nane, nikamuuliza bei kutoka airport mpaka movenpick ni ngapi akasema 25,000 nikamwambia usijali ntakupa 50,000/=!!!!!!!!!!!!! (kumbuka mimi ntalipwa usd 200 ya usafiri).

Basi mimi mbio nikaenda airport terminal one kusubiri ndege ya WFP ili tumalize biashara, nilipofika kuulizia reception nikaambiwa hakuna kitu cha namna hiyo na mimi ni mtu wa 10 kutapeliwa, basi tena nikajirudia kimya kimya. Nikaenda kula chefs pride nikamsimulia jamaa mmoja yaliyonisibu, kabla sijamaliza akasema hata ndugu yake ametapeliwa wiki iliyopita, nikampigia Galeba akasema yeye jamaa yake alipigwa 3.5m last week.

Taarifa nilizonazo mpaka nikuwa hii ni network ya wahaya na mpaka sasa ni wahaya wengi wameishaibiwa ukilinganisha na makabila mengine.

So guys thats my story for yesterday!
..Mbona utapeli wa zamani sana huu!! na kikubwa wanashirikiana na wafanya kazi wa benki (nadhani) ili kujua account yako ina sh ngapi. Pole sana lakini
 
Mkuu pole sana, nikama natizama movie hivi! kweli inavyo onesha jamaa wako organized. Nashauri Moderator waweke forum ya kulipoti mbinu za utapeli na mtu akitapeliwa na au kusikia stori airushe humu tuweze kujikinga.

Nakushukru sana kwa ujasili ulio uonyesha kutupatia taarifa hii, Itatusaidia wengi

Baada ya kusoma posts za wenzangu nimeridhika kuwa umekiuka maadali ya uandishi. Kwa post hii naondoa "pole" zangu zote. Aidha, kwa kuwa ilikuwa marayangu ya kwanza kusoma taarifa hii, nakushukru kwa kunijuza.
 
Ndugu yangu,

Ungekuwa makini zaidi ungegundua makosa mawili makubwa ambayo ulipaswa kuyafanya:

1. Kuuliza watu, au hata kwenda kwenye local office ya WFP Dar, kuhusu taratibu zao za utoaji tender. Remember: According to UN standards, NO UN Agency will ever issue a tender to a supplier without a written contract. NEVER! Hao jamaa hawakuzungumzia mkataba.

2. Hiyo dawa, Damoline Liquid Solution, je uliingia kwenye Google na kuangalia ni kitu gani, ili kuhakiki kama kweli ndio haswa inayotumika kwa matumizi hayo?

Matapeli huwa wanafaniikiwa kwa kuwatamanisha wale wanaotaka kuwatapeli, kwa kuwa wanajua kwamba BINADAM WOTE wana TAMAA! Tamaa peke yake ndiyo iliyokupeleka ukapoteza pesa zako bure. Uliwezaje kukubali kumpa mtu USIYEMFAHAMU pesa zote hizo, ati kijana wake? Ungekuwa na msimamo. Ungemwambia huyo jamaa atoke huko Mwananyamala Hospital, kwani kumtuma hiyo kijana wake alikua usingekuwa na shaka ya kumsoma vizuri sura yake. Pia, huku-double check na MSD kama kweli wanaye mtu anayeitwa Dr. Shija!

Ni fundisho kwako, lakini ni fundisho kwa wengine. Msipofanya due dilligence, ndugu, mtaingizwa mjini kila uchao! Na utapeli wa aina hii ni wa muda mrefu sana, hata kwenye kipindi cha "Bongo Dar es Salaam" kilichokuwa kinarushwa TBC1, akina Dude waliwahi kuuigiza!
 
pole sana huu wizi ni wa muda mrefu ila kila siku wanabadili style
Usiwaze pesa za kuletewa jiulize anayekuletea hazitaki? amerizika kiasi gani? then tafuta zako kwa jasho lako.
 
Acha hizo... Mbona wewe jina lako tunaliona mara nyingi humu JF na hatukuchoki? Kumbuka kuna wanaojiunga sasa, ukizingatia kuwa hakuna anayejiunga na JF na kuanza kupitia thread za nyuma

Tatizo lake ni kujivika uhusika wakati siye, kwani angesema ukweli kuwa ilimtokea mtu ni dhambi?
Huku ni kwa Great Thinkers wa ukweli lakini sio kwa namna yake, ona sasa anaumbuka.
 
story ni nzuri kwa kuwa ina mafunzo, pia sio vibaya kwa mleta mada kuiweka hapa hata kama ilishakuwepo. Kwani si kila mtu alisoma kila post za JF. Kosa kubwa ni kujifanya imemtokea yeye.
 
Halafu Huyo tapeli ndo staili yake hiyo, kila siku yuko kigoma. Mi alinipigia simu mwezi wa saba mwaka huu, alivyoanza tu kubwabwaja nikamwambia, nimaishi D.s.M ingawa sijazaliwa dar, nilimwambia akinipigia tena namfuatilia mwemwewe..aliogopa huyo akazuga ukali akakata simu..DSM akili mukichwa, trust no body, some times even yourself.!
 
hivi huyu jamaa anapataga wapi namba za simu zetu? alinipigia mwaka jana nikiwa moro, sikumwelewa! mwisho nikamwambia sina muda labda niuunganishe na rafiki yangu, hakupiga tena, chakushangaza nikuwa eti ukikubali hiyo deal tu wanawasha ndege kutoka kigoma na kuja dar yeye na maboss, halafu mahali anapozungumzia hyu jamaa kuna kelele za watu kama watotona kina mama hivi,

duh kweli kweli huu utapeli wa aina yake, lakini kama unapenda sana deal za digital lazima wakulize

mkuu pole sana, milioni ni nyingi
 
i like this comment man, very strong
pole sana huu wizi ni wa muda mrefu ila kila siku wanabadili style
Usiwaze pesa za kuletewa jiulize anayekuletea hazitaki? amerizika kiasi gani? then tafuta zako kwa jasho lako.
 
Hii story pia mjomba wangu ametapeliwa mwezi uliopita story inafanana kila kitu na mahali kasoro tu yeye alitumia dawa ya wanyama pori. Mjomba wangu yeye aliambiwa na mwanae akamshawishi akakubali coz huyu mwanae ni mtoto wa kaka yake ambaye alikuwa hajui kingereza hata hela walizoibiwa alitoa huyu dogo, uncle wangu aliwashtukia koz dogo aliyekuwa na sample hakuwa smart kama muhasibu anavyotakiwa kuwa, uncle alitaka asiwape lakin atapata shinikizo kutoka kwa mwanae ikabiidi atoe ile hela yeye ilikuwa laki 450. Lakini alimwonya yule dogo na kumwambia kama amemwibia ndo ameiba mara ya mwisho akampiagia na yule John initiator wa dili akamwambia the same sasa John akamwambia kabisa uncle kuwa in short umetapeliwa na wala huwezi kutupata tena akamwambia mmnitapeli mara ya mwisho akajisifu wametapeli watu wengi sana na ndo maisha yao hapa mjini na ni hela za mamilion. Kumbe siku hiyo walimtapeli na mshomali mmoja 4m mshomali akaanza kuwatress kwenye simu si unajua namba za simu zimesajiliwa kwa real names. Wa kwanza alikuwa uncle coz muda huo anatapeliwa uncle na mshomali alotapeliwa muda huo. Mpaka sasa wale watu wameshakamatwa wapo segerea. Hii ni company ya watu wengi sana serikali nasikia haitangazi utapeli huu ili wasishtuke watu wengine wanaojihusiha na deal hii. Sasa nakushauri nenda polisi watakusiadia kuwatress watapeli hao ili mradi ukumbuke ile mida walokuatapeli. Other wise good new idea. Ndo ugumu wa maisha huo unawafanya watu wabuni njia mbadala za kuiba. Na sisi tumezoea sana biashara za magendo na ndo maana tunakuwa traped easily tuache hii tabia
 
yaani ukishasikia sijui world vision, oxfam, unhcr or any other international organization afu na issue za Kigoma sijui madawa either ya kilimo, mifugo, wadudu or preservatives and stuff like that ni matapeli tena wenye mtandao mkubwa na polisi wanawafahamu siku hizi wako mikoani Dar sio saana ka zamani.

Mi walishajaribu kunitapeli na nilishaingia king kilichonishtua ni huyo jamaa supplier ambaye alisema anafanya kazi TPRI Ngaramtoni ambaye angenipa dawa ya famigation kwa ajili ya makambi ya wakimbizi mi ndo nisuuply nilianza kumuuliza kuhusu TPRI na mazingira yake ila alikuwa hana idea yoyote ya huko ndo nikamdoubt nikastuka ila nkaendelea nao sa tukapanga nimpelekee hela mitaa ya NHC ngarenaro, nikamwaga naenda kwanza ofsini afu niende bank ndo nimfate huko, basi nkamwacha nkawapigia simu askari wawili ambao ni washkaji zangu ili tule hela nkaenda nao walikuwa wamekaa nyuma gari full tinted kufika hayo maeneo ya shule ya msingi ngarenaro nkapaki huu upande wa hekalu la Bahai sababu ndo ilikuwa meeting point yetu basi nkampigia aje na hizo dawa ili achukue hela akasema ye anajiaandaa kwenda kuswali kuna kijana ataniletea hizo dawa nimpe na hela nkagoma nkamwambia kama haji siwezi mpa hela mtu mwingine ambaye sio niliongea naye biz, bas akaja ka baada ya dk kadhaa na mda aliofika si kwa distance aliyosema yuko,

Alidai yuko mitaa ya kona Nairobi anaenda msikitini, akaja kwa haraka akaingia mbele bila hata kuangalia nyuma alikuwa na box lilikuwa na chupa nne za plastic ngumu za litre moja moja basi alivoingia tu akafunga nkaweka lock fasta askari mmoja akamwambia uko chini ya ulinzi cha ajabu alivyogeeuka akamtambua yule askari na kumuita kwa jina wakamhoji mhoji ila kirafiki akawapa shs 23000 ila hakusema ni nani kampa detail zangu specfic ila akawa anasema watu tu wanaokufahamu wamewapa deal kwa kuwa hamna baya tumwache kweli tukamshusha hapa CCM mkoa coz wakati tunaongea naye tulikuwa tunaelekea polisi ila tukamshusha njiani alivyoshuka ndo wale askari wakaniambia kuwa bosi wao hawa matapeli huwa anawatoa wakubwa na inajulikana ndo maana wanarudiarudia kwa hiyo hata tungempeleka angetoka tuu na wao walihofia kugombana na wakubwa wao
 
Back
Top Bottom