Kuweni makini na simu

KakaJambazi

JF-Expert Member
Jun 5, 2009
18,711
12,067
Hasa za baadhi ya akina dada, wanazitumia kama vibrator.

Ushauri: nawa mikono baada ya kushika cmu na kabla ya kula.
 
Duh! Je, huu ni ubunifu au nini?? JF ni zaidi ya chuo kikuu. Usichokiwaza wengine walishakutangulia maelfu ya mita!
 
Hizo charger hapo maofisini,hazikuja bure, zioneni hivyo hivyo tu.
 
Mkuu, mbona napata kizungumkuti ili nimekalia kiti? Hebu fafanua angalau kidogo.
Maana ofisi ile chaja ziko peupe tena karibu muda wote zimechomekwa hata kama hakuna mtu anayechaji.

na hyo vibration means ... mh mimi nachoka kabisa.
 
Ni kwamba, chaji ikiisha, inachajiwa tena.
 
Jamani mbona mimi sielewi? Inakuaje sasa hiyo vibration si mpaka mtu akupigie ndio ita vibrate na ukipokea vibrator inaishia hapo. Kaka Jambazi hebu tuelezee utafiti wako kwa kina.:clock:
 
Kua uyaone.......................
 
Mh! kuna wakati nilimsikia daktari mmoja akielezea kuhusu simu kulipuka zikipata unyevunyevu, hasa za kichina, sasa kwa suala hilo duh, sipati picha. Mungu tunusuru, mweh:mmph:
 
Back
Top Bottom