Kuwekwa wakfu kwa tovuti.

KATATANAMA

Member
Feb 15, 2012
63
6
Jana tar 22-07-2012 kanisa la Full Gospel Bible Fellowship linaloongozwa na Askofu Zachary Kakobe limefungua rasmi tovuti zake kama njia mpya ya kueneza neno la Mungu. Sasa unaweza kupata taarifa za kina kupitia: www.fgbfchurch.org
Pia kwa kupitia youtube unaweza kutazama vipindi tofauti tofauti. Na wasilisha.
 
Back
Top Bottom