Kuweka Huawei na Tecno kwenye kundi moja kiubora ni sahihi?

Fingerprint inachangia nini katika maisha yako ya kila siku ya matumizi ya simu? Waafrika ndio maana tunadharaulika hata na huyo mzungu mwenyewe!
Usilolijua ni usiku wa giza ,wakati mkichora chora kama watoto mimi natumia finger print kwa kutoa lock na nimesajili vidole gumba vyote vya mkono kwa urahisi ,hakuna anaeweza kufungua mwingine zaidi yangu ,pia ukitaka unaset mpaka kuingia kwenye social applications kama fb badala ya kulock na application za app lock unatumia tu kidole chako and your good to go ,kiujumla niko huru sana na simu kwa finger print kuliko simu ya kuweka passwords au kuchora maana mtu anaweza copy unavyofanya akafungua ,copy finger print sasa
 
Usilolijua ni usiku wa giza ,wakati mkichora chora kama watoto mimi natumia finger print kwa kutoa lock na nimesajili vidole gumba vyote vya mkono kwa urahisi ,hakuna anaeweza kufungua mwingine zaidi yangu ,pia ukitaka unaset mpaka kuingia kwenye social applications kama fb badala ya kulock na application za app lock unatumia tu kidole chako and your good to go ,kiujumla niko huru sana na simu kwa finger print kuliko simu ya kuweka passwords au kuchora maana mtu anaweza copy unavyofanya akafungua ,copy finger print sasa
Mkuu unatumia simu gani?
 
umeongea kinadharia hapo, samsung zenye android 4.1 zimetoka 2012, why ulinganishe na tecno ya 2016 yenye android 6? hapo sio fair, turudi kinadharia hapo hapo na ku assume upo sahihi

1. ni bora niwe na simu yenye internal 8gb iliotengenezwa na ufs 2.0 kuliko yenye 128gb ikiwa na storage zisizo na speed kama emmc
2. ni bora niwe na 1gb ambayo ni ddr4 na dual chanell kuliko ram 8gb ambayo ni ddr3 single chanell, kwenye app zote za simu hio 1gb itamkimbiza 8gb
3. ni bora niwe na 2500mah ambayo ipo optimized na inatumia soc isiokula sana umeme sababu itakaa sana na chaji kuliko kuwa na 5000mah ambayo haipo optimized na ipo paired na soc inayokula sana umeme

siku zote specs kubwa hazimaanishi kwamba eti kifaa ndio kizuri
Wewe ndio Chief Mkwawa... Napenda sana Reply zako linapokuja suala la electronics hasa mambo ya simu, computer na camera.

Binafsi nimekuwa nikizitumia sana hzi andishi zako kwenye kufanya manunuzi ya vifaa vya umeme na kuna wakati hata madukani huwa naulizwa hivyo vitu (Specs) nazijuaje na ipi faida yake.

Mfano nilienda Mby kuijulia hali familia nikakuta Bi Mkubwa simu ina msumbua, nikaenda Taifa Electronic pale mtaa wa Lupa alinishawishi sana nichukue Tecno kwa sifa za nadharia ila mwisho wa siku nilichukua Samsung S3 na nikampa ELIMU HII NINAYOPATA HAPA NDANI BURE!
 
Well said mkuu, yaani ukisoma baadhi ya maoni ya ajabu unabaki unashangaa - programs zote ambazo ziko customised for android OS zipo karibu kwa simu zote regardless ya brand ya simu na apps nyingine unaweza kuinstall muda wowote ukitaka kupitia playstore na sites nyingine, haya nambo ya kutisha watu mpaka wajisikie kwamba kama awakununua a branded phone basi wameliwa - wateja wangapi wanaitaji hyperfast phone, kwani wanataka kuzitumia kufanya mahesabu ya Quatum Physics, cold fussion au exotic games who needs these stuff !!

Mambo mengi (specs) wanazo zisema humu ni vitu vinavyo fanyika ndani kwa ndani ya processor speed ya processor inapunguzwa sana inapo tolewa nje kusafirishwa kwenye data na address buses, mara zote default za speed za memory ndiyo zina dictate kila kitu regardless front side bus speed.

Wateja wote wa simu wabazitumia kwa ajili ya voice comm na data, simu yenyewe
hata iwe na speed gani italazimishwa kufuata speed ya teknolojia inayo tumiwa na service provider - modem ya simu inafanya handshake na ya provider na kukubaliana speed hipi itumike, yote hayo yanafanyika automatically. Muwe wakweli kwamba speed kubwa inahitajika katika masuala ya video games and the like hapo hapo kwenye simu lakini linapokuja suala la kuwasiliana na watu wengine kwa ya voice au data via air systems za provider ndiyo zina dictate throuput ya nawasiliano siyo simu yako. Mambo mengi watu wanayo yaleta humu wanaya copy kutoja kwenye IT review sites ambazo kiuharisia ziko pale kibiashara zaidi kuliko kiufundi ndio maana napataga wakati mgumu kukubaliana nao.
Exactly, we ndio umenena vyema zaidi mkuu. Watu huwa kama wana kasumba flani na hizi namebrands yani. Ukienda kwenye uhalisia wa matumizi ya hizi androids regardless ni samsung,sony, huawei ama tecno huwa ni kwa matumizi basically camera, browsing, emails, data and voice calls na instant messaging na watanzania wachache sana huenda mbali zaidi ya hapa. Hizi androids zipo identical katika swala la software kwa asilimia nyingi tu isipokuwa customization kidogo (hios, touchwiz, xperia ui n.k) katika Rom ndio hufanya zionekane tofauti kulingana na brand husika.

Naamini wengi humu ni fanboys wa baadhi namebrands ila katika matumizi ya simu zote utility inapatikana katika basic functions tu na hata hizo technical features wanazo brag kwamba tecno haina mara samsung inayo nyingi hawazitumii ila ni basi tu alimradi sifa za kijinga tu. Kutafuta ujiko uonekane unatumia simu ya million moja ikiwa hata laki 3 humalizi katika pesa yote uliotoa kuinunua hio simu kimatumizi sio ujanja. Hebu tuangalie tu wangapi wanaweza utilize NFC kibongobongo?

Finally, tusibabaishane kwamba tecno ni mbaya au nzuri zaidi ya samsung kwa sababu, kila mtu ana pendekezo lake na pia matumizi yake yaweza kuwa tofauti kidogo na wengine ila all in all kila mmoja anaridhika nafsi na ndio swala la msingi!

NB: Sifungamani na namebrand yeyote samsung fanboys msipanic!
 
Kazi yangu imebase sana kwenye picture ,tecno hainifai sababu haina picha bora ya kuweka hata kwenye blogs sembuse uiweke kwenye office reports ,ndio maana ofisi zote hawatoi tecno kwa wafanyakazi labda uwe uko tecno au shirika lako wamekuchoka ,kuna mida ifike tujali afya zetu na tujue faida ya kila kitu ,tecno itauzwa tu Africa sababu ndiko watu hawajielewi wananunua simu duni kwa gharama ya simu bora .
 
Kazi yangu imebase sana kwenye picture ,tecno hainifai sababu haina picha bora ya kuweka hata kwenye blogs sembuse uiweke kwenye office reports ,ndio maana ofisi zote hawatoi tecno kwa wafanyakazi labda uwe uko tecno au shirika lako wamekuchoka ,kuna mida ifike tujali afya zetu na tujue faida ya kila kitu ,tecno itauzwa tu Africa sababu ndiko watu hawajielewi wananunua simu duni kwa gharama ya simu bora .
Wamekupa simu gani mkuu
 
Ukiongelea performance sijui unapata mtazamo gani,
Umesahau kuna aina za RAM

Umesahau SOc...hao tecno sindo wenye soc vimeo?


Umesahau hardware, s2 ya 2011 hadi leo ipo mtaan,wapi H6 wapi p5

Umesahau displays

Umesahau GpU

Umesahau camera sensor

Optimization

Memory used

Mbona kuna vitu vingi vya kuzingatia and still unasema wewe ni IT man
Sorry mkuu soc n nn?
 
Wengine mnaiga tu mkumbo! Nitajie programs ambazo unazipata kwenye Samsung hazipo tecno.? Mnachonunua ni brand name ya Samsung na sio ubora wa simu.Mnatembea na charger battery mbovu.Tecno specification zake zipo vizuri
Unavyo sema battery zetu mbovu leta proof yangu hii hapa Samsung yangu 2550mah battery 5inch screen 2k display kwa WiFi napata 6+hrs kwa 4G napata 4-5 hrs screen on time .. Toa reading zako za Tecno yako yenye battery bora

6c8c70648d1d8024bf19777f6806f5d7.jpg
e78304664b8693ec425eea8b4ba4b9a3.jpg

Na reason nyingine kwa nini Samsung ni bora, kila mwezi tuna pewa security updates so simu zetu always zipo secure unlike Tecno ambazo kila kukicha malware..
b081bdfc93e3a756a0a4c2db8031a840.jpg


Na mfano wa program za Samsung zisizo patikana Tecno ni kama hizi kwa uchache

714a95bb790e9ab6bca2510adb3b7221.jpg
 
Back
Top Bottom