mchushi
JF-Expert Member
- Dec 23, 2012
- 216
- 98
Habarini wakuu nimekuwa nikishuhudia mara kadha watumiaji wa Tecno wanaposhambuliwa na watumiaji wa simu nyingine ambazo wao hudhani ni za ubora wa juu wamekuwa wakijitetea na comeback yao imekuwa ikiwataja pia huawei..... mfano utamsukia mtumuaji wa Tecno akijitetea "kwani siye watumiaji wa tecno na huawei siyo watu" anyways siwapangi watu kwenye classes kutokana na ubora au majina makubwa wanayotumia....lakini swali langu ni Je ni sahihi kuziweka huawei na Tecno katika kundi moja la ubora??? NB:Situmii simu yeyote kati ya hizo mbili, natumia PC.