Kuweka files; videos kwenye ipod

frozen

Senior Member
Aug 12, 2010
135
32
Wadau, nawasalimu! Naomba msaada namna gani naweza weka video kwenye ipod, files converter ipi ni nzuri?
 
Pakua iTunes halafu sanikisha kwenye tarakilishi yako. Ingawa zipo programu mbadala lakini iTunes ni mahsusi zaidi
 
Yah nimejaribu I tunes inakata..ila kwa upande wa kuweka music hamna shida, tatizo ni videos, inaniambia format yake haikubaliki.
 
Yah nimejaribu I tunes inakata..ila kwa upande wa kuweka music hamna shida, tatizo ni videos, inaniambia format yake haikubaliki.

tafuta total video convertor then kwenye ku-convert select ipod mpeg afu ikishamaliza unaweza ku-sync kama kawaida na itaingia kweny ipod..
 
Yah nimejaribu I tunes inakata..ila kwa upande wa kuweka music hamna shida, tatizo ni videos, inaniambia format yake haikubaliki.
Tumia software moja inaitwa any video converter,convert hizo videos into mp4,alafu zi synclonize kwenye itunes kama kawaida!!!
 
Back
Top Bottom