Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Bonyeza hapa kuweka Avatar yako utona hiyo sehemu https://www.jamiiforums.com/private.php ukifanikiwa sema kwangu mie japo Thanks.Naombeni mnisaidie jinsi ya kuweka avatar katika profile yangu hapa JF. Nitapenda kujua namna ya kuweka animated avatar pia. Thanks in advance.
Bado hiyo edit profile siioni nisaidieni im new
save picha yoyote halafu nenda kwenye profile edit chagua edit avatar halafu chagua custom na ubrowse kulocate image yako then una save changes
Custom Avatar
Use Custom Avatar
Option 1 - Enter the URL to the Image on Another Website:
Note: The maximum size of your custom image is 100 by 100 pixels or 195.3 KB (whichever is smaller).
Option 2 - Upload Image From Your Computer:
Note: The maximum size of your custom image is 100 by 100 pixels or 195.3 KB (whichever is smaller).
angalia post #5Naomba kuelekezwa namna ya kuweka avatar!!