sativa saligogo
Senior Member
- Apr 11, 2011
- 126
- 6
Mkuu wala usihofu sana hiyo ni mojawapo ya hali ya kawaida kwa mwanamume rijali kama wewe! Cha msingi avoid full-kujiachia kwani hayo ndo matokeo ya kanga ndembe-ndembe!Nilishaanza kupoteza imani na baadhi ya thinkers baada ya kuona majibu mabovu kutokwa kwa baadhi yao. Asanteni sana mliochangia nitaenda hospitali.
TAKE NOTE!!!!!