Kuwashwa mwili mzima

mseseve

JF-Expert Member
Apr 3, 2011
511
89
Jf doctor sijui tatizo langu ni nini mwili mzima huwasha hasa miguuni, sehemu za siri na kichwani. Ni muda mrefu sasa karibu miaka 5 na zinatoa harufu kali sana. Nishaonana na docta mara nyingi lkn sioni mafanikio yoyote. Hospital wanasema ni fungus mara damu imechafuka, yani siwaelew wanakula tuu hela yngu.jf doctor nisaidien nifanyeje ilinilipatie solution tatizo langu maana ni mda mrefu sasa nateseka
 
ucjali kaka,jf ipo kwajili yako! Doct Riwa na wataalam wengine watakujibu very soon na utapata suluhisho! Pole sana mkuu...
 
Kama ungekua unawashwa tu mwili kungekua na uwezekano ni minyoo..ila kama harufu inahusika sijui!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom