Kuwashwa kwa ngozi

Marandura

Senior Member
Jul 21, 2011
105
11
Kuna kijana mmoja rafiki yangu anasumbuliwa na kuwashwa kwa ngozi pindi atokapo kuoga nimemuangalia ana vijipele vidogo vidogo kwenye vinyweleo vya ngozi. Hii ni nini jamani? Na tiba yake
 
Back
Top Bottom