kuwashwa kwa koo na masikio

Sweetlol

Senior Member
May 9, 2011
102
24
Heloo wanajamvi.
mm ninamatatizo yakuwashwa sana masikio na koo.yaan najitahidi kuyasafisha ila yanawasha kupita kiasi mwenye kujua hili naomba anisaidie
 
unatumia nini kusafisha? unavyoyasafisha ndivyo unavyosababisha uchafu kubaki na kuyaumiza zaidi. Huo uchafu unaweza kuleta infection zaidi. Na koo kuwasha ni kwa sababu inashare nerve supply na sikio. Ukikuna sikio unasababisha muwasho ambao huwa interpreted as kama unatoka sehemu zote mbili. Nenda kamuone daktari ili upate matibabu na ushauri.
 
Heloo wanajamvi.
mm ninamatatizo yakuwashwa sana masikio na koo.yaan najitahidi kuyasafisha ila yanawasha kupita kiasi mwenye kujua hili naomba anisaidie

Huenda Utakuwa na shida inayoitwa kitaalamu Allergic rhinitis, ambayo huhusisha kuwashwa na koo pamoja na masikio na wakati mwingine kupiga chafya. Ni vigumu kuitokomeza unless umegundua kitu unachokosana nacho. Vingenevyo zipo dawa za kutuliza, waone wataalamu.
 
Heloo wanajamvi.
mm ninamatatizo yakuwashwa sana masikio na koo.yaan najitahidi kuyasafisha ila yanawasha kupita kiasi mwenye kujua hili naomba anisaidie
mimi pia nina hilo tatizo nikaenda hospital ya regency nikakutana na doctor wa koo akanishauri niache kutumia vinywaji vya baridi maji , soda, juice etc na kweli baada ya kufanya hivyo kwa mwezi mmoja nikawa sisumbuliwi tena na ikitokea nimetumia vinywaji vya baridi nawashwa tena so nikagundua kuwa vinywaji vya baridi sitakiwi kutumia.
so nakushauri uende hospital pale regency ukakutane na doctor wa maswala ya koo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom