Kuwafanyia watoto DNA test

Lakini Mkuu, ushuhuda wa nini? Wewe umelea mimba mpaka mtoto amezaliwa, ina maana siku zote ulikuwa na wasiwasi na mimba ya mtoto husika. Au unataka u-create fear situation kwa mkeo hasitoke nje ya ndoa?

Mi bwana aendage tu akapime kisirisiri asinambie akae nayo siri yake moyoni labda kama akikuta si wake ndo aseme!!
 
Nadhani MTM anazungumzia kupima DNA kama mtu anavyopima vitu vingine bila kuhusisha hisia za kutokuwepo uaminifu.....yaani mnapima tu, hata kama hakuna mashaka!

Watu wengine wanatoa kopi zao wenyewe kiasi kwamba kupima DNA ni upotevu wa muda na hela!

Kuna mtu namfahamu alienda kwa mkemia mkuu kucheki vina7 (of coz baada ya mitafaruku mingi)......akaambiwa mtoto ni wa kwakwe..........
Jamaa hakuamini akaenda hadi Nairobi, akapata jibu lile lile, mtoto ni wake!
Guess what? Ikabidi ndoa ivunjike bila kupenda.
 
hii imani samtaimu ndio inaleta balaa ndani ya nyumba. kuna vile viruka njia vijike kwa vidume huwa vinafanya mambo yao na ukiviuliza vinajifanya kuja juu aaargh sasa hatuaminiani? muulizaji ukirudi matawi ya chini neksti day anaendeleza libeneke. hapo njomba utakuwa umekwisha!!!!! , zaifu yako imejulikana!!. kama jana alirudi nyumbani sunseti kesho anarudi sunraiz. lakini uskonde tupo washauri wa kujitolea hapa jf. likikutokezea hili balaa usisite kuliripoti hapa jukwaa la mahusiano.
Mkuu wakishakuwa viruka njia tayari wametoka kwenye boksi. Yaani ni viruka njia
 
Na ndio maana nikasema inakuwa vigumu kueleweka. Assume hakuna kuota wala kufanya sef service-
Nimekuelewa ila Mambo kama haya ni Ngumu kueleweka, Unajua Ishu ya kupima DNA imekuja kua so popular now kwa sababu ya Asilimia kubwa (sina kumbukumbu vizuri) yaani more that 60% ya wababa waliopima DNA wamekuta kua watoto sio wao!! ndo maana mambo yamebadilika siku izi!! Mi sioni tatizo ni sawasawa tu na kupima Ukimwi yote ni kwa Heri tu wala sio shari!!
 
Nadhani MTM anazungumzia kupima DNA kama mtu anavyopima vitu vingine bila kuhusisha hisia za kutokuwepo uaminifu.....yaani mnapima tu, hata kama hakuna mashaka!

Watu wengine wanatoa kopi zao wenyewe kiasi kwamba kupima DNA ni upotevu wa muda na hela!

Kuna mtu namfahamu alienda kwa mkemia mkuu kucheki vina7 (of coz baada ya mitafaruku mingi)......akaambiwa mtoto ni wa kwakwe..........
Jamaa hakuamini akaenda hadi Nairobi, akapata jibu lile lile, mtoto ni wake!
Guess what? Ikabidi ndoa ivunjike bila kupenda.

Roya nimekuelewa lakini nadhani si rahisi kutenganisha upimaji wa DNA na hisia. Si kama kupima malaria au ugonjwa mwingine ambao kama mtu atakutwa nao kuna explanation kibao juu yake. Kwa DNA ni tofauti ikikutwa ni negative hakuna mswalie mtume ni ndoa kuvunjika. Na kama ulivyotoa mfano wa rafiki yako sijui kama kuna watu wanaokwenda kupima DNA pasipo kuwa na chembe ya doubt juu ya mwenzi wake au mifarakano! Si kama unapokwenda kucheck UKIMWI kwa afya yako tu!! Sijui kama ninaelewa mimi au nina tatizo
 
Jamani mi siono kama kuna tatizo kucheck.DNA,mi nadhani kama mama una uhakika watoto ulionao ni wa mumeo sidhani kama kuna tatizo hapa.mi nashauri wanaume wawe wanashirikishwa wakati mama anajifungua maana wakati mwingine kuna uzembe unafanyika kwenye mahospitali wa kuwabadilishia watu watoto.so baba ukiwa pale nadhani utajua mapema na utakuwa na ushahidi hata wa picha za mwanao na uanweza kufanya hiyo DNA wakati huo.
Mi namjua jamaa mmoja tena ni jamaa wa karibu sana si tu rafiki ni kama ndugu .alibahatika kuoa kama miaka tisa au kumi imepita sasa na kubata watoto watatu.lakini majuzi mkewe akaanza vituko sana na kadiri wale watotot walapokuwa wakubwa jamaa hana hata sura pale.siku moja akamwambia mkewe unaonaje tukafanye DNA.e bwana we wacha mama acharuke lakini siku moja yule jamaa akamwambia utake usitake twende.jamani ni huzuni majibu yametoka mtoto wa kwanza na wa3 si yule jamaa.Mama kaitwa kaelezwa majibu yalivyo kakubali kweli si wake.kilichofuata ni yule mama kubeba watoto wake wawili na mizigo kaondoka bila kufukuzwa na mtu.Jamaa alikuwa mstarabu maana alimwambia wewe ni mke wangu hawa watoto baba zao ni akina nani .mama hakujibu badala yake akafungasha na wanae.so mimi nafikiri hii DNA ni muhimu sana maana wengine wanaumia kulelea wenzao watoto wakati wenyewe wanakula raha.Samahani kama nitakuwa nimemkwaza mtu hapa
 
Nimekuelewa ila Mambo kama haya ni Ngumu kueleweka, Unajua Ishu ya kupima DNA imekuja kua so popular now kwa sababu ya Asilimia kubwa (sina kumbukumbu vizuri) yaani more that 60% ya wababa waliopima DNA wamekuta kua watoto sio wao!! ndo maana mambo yamebadilika siku izi!! Mi sioni tatizo ni sawasawa tu na kupima Ukimwi yote ni kwa Heri tu wala sio shari!!
Na ukitrace ndoa zilizotoa watoto wa nje ya ndoa ndio zile zile zilizokosa imani baina ya mume na mke kwahiyo mmoja anaenda kupumzika na house girl mwingine na house boy lakini mzigo wa DNA unakuja kumdondokea aliyepumzika na house boy. Mungu ni mwema kwani amenihahidi mke kutoka katika nyama zangu.
 
Tatizo ni kwa akina dada wamechukulia DNA kama njia ya kuwaangalia kama wamecheat, ila hapo ndio sielewi

Bado naamini DNA ni muhimu
 
Mtu Kwao hujakwaza mtu hata kidogo hapa kila mtu ana uhuru wa kutoa mawazo yake.

Hebu tujenge ghorofa hewani: suppose tungekuwa sisi tunawagaia sperms ninyi waume zetu na kila mke anayo rangi yake peke yake. Ukienda safari ukirudi nikuombe tupime ili nijue kama hukuzitumia na wala hujaongezewa na mwingine (kwa sababu rangi zitakuwa tofauti) na suppose wewe ni MWAMINIFU KIKWELII- utafikiriaje kwanza?
 
The Following 3 Users Say Thank You to Bluray For This Useful Post: bht (Today), Chrispin (Today), Nguli (Today)

Nafikiri miwani yako ina tatizo kumbuka huyu ni kaka yangu wa kwanza kwenye familia yetu. Alisomaga midle school.

ukoo when ndo ZD aliniambia ni wa kiblurey, I still remember that!!!
 
Sikushauri uache we endelea tu watasononeka sana mwl wako wa kwaya,mchungaji/padre na mpapasa kinanda(tena huyu nae anahitaji thread). Na pia jaribu kupima Afya yako na ni vizuri uje hapa muhimbili nita ku PM no. yangu ya simu wala hutakaa kwenye foleni kwa vile sio kosa lako.

we nguli wewe maneno gani haya yaani inamaana mi nimenanihii na fr. aka mchungaji, na mpapasa kinanda??? asilani!!!!
 
What if mkikubaliana, kabla ya kuanza uumbaji, kwamba kitakachotoka kitapimwa DNA......will that help?
 
Mama, kwani Viagra ilikuwa kwa ajili ya kuongeza nguvu za kiume??? si ilikuwa kwa ajili ya moyo? lakini si umeona faida ya viagra?

MTM nakuelewa uzuri kaka yangu but unlike viagra ilikuja kwa kazi nyingine then ubunifu ukatokea hata kama mkeo akikukuta una viagra unayoexplanation ya kumpa na ikakubalika sasa DNA labda kama ingekuwa ina--- hata sijui niseme inafanya nini kisha tukagundua kuwa inasaidia kutambulisha vina7. Ah jamani ina umuhimu ila kwangu inanipa mawazo mabaya.

Roya unauliza kama tukikubaliana kabla (assume ni makubaliano tu ambayo hayajabase kwenye sababu yoyote) mnaanza tu wife naomba ukipata mimba ukajifungua salama tukacheck DNA? kwa nini mume wangu? Basi tu na tuufanye ndo utaratibu wa maisha yetu yote!!

Sijui bwana labda itapunguza/mipunguzia lile sononeko.

Kwa herini
 
Nadhani MTM anazungumzia kupima DNA kama mtu anavyopima vitu vingine bila kuhusisha hisia za kutokuwepo uaminifu.....yaani mnapima tu, hata kama hakuna mashaka!

Watu wengine wanatoa kopi zao wenyewe kiasi kwamba kupima DNA ni upotevu wa muda na hela!

Kuna mtu namfahamu alienda kwa mkemia mkuu kucheki vina7 (of coz baada ya mitafaruku mingi)......akaambiwa mtoto ni wa kwakwe..........
Jamaa hakuamini akaenda hadi Nairobi, akapata jibu lile lile, mtoto ni wake!
Guess what? Ikabidi ndoa ivunjike bila kupenda.

mkuu hilo ndilolinalogomba kwa sababu hicho kipimo cha DNA hakikuwekwa eti ilikitumike kupima tu.....ni gharama na pili lazima kuwa na a justifiable case kwa nini ukafanye icho kipimo. Kisha counseling huwa inakuwepo kabla.

Sasa kwa nini nifanye DNA? tuanzie hapo,
 
By the way, kuna positives na negatives za genetic testing.

Hivi ukiwa baba umebambikiwa mtoto mzuri tu, ni bora kukaa bila kujua au kujua na kuharibu zaidi ndoa iliyokwishaanza kuharibika?

Vipi kama unapima na kukuta kuna 50% chance ya kupata cancer mbaya, wengine wanasema inaweza kuku empower kuanza kuishi lifestyle itakayoikabili hiyo chance, wengine watasema bora nisijue niishi maisha yangu bila woga ambao unaweza hata usitimilishwe na ugonjwa.

Nilikuwa nasoma book review ya kitabu kuhusu genius mmoja wa mahesabu wa kirusi aliyegundua solution ya Poincare's Conjecture (Grigori Perelman) nikakuta huyu aliyekifanyia hiki kitabu review kaandika kitabu kinacho approach genetic testing kama a not so desirable thing

Masha Gessen "Blood Matters" - About genetic testing

http://www.nytimes.com/2008/05/11/books/review/Senior-t.html

Masha Gessen "Perfect Rigor" - About the reclusive Russian math genius

http://www.nytimes.com/2009/12/13/books/review/Hoffman-t.html?_r=1&ref=books
 
Hebu fikiria tema MTM haikuwekwa kwa ajili hiyo?

DNA test haikuwekwa kwa ajili ya wanandoa, ilikua developed kusaidia kwenye identification ya vitu na vimelea na compartibility, bahati nzuri ikagonga ikulu

i love DNA
 
Back
Top Bottom