Sipo
JF-Expert Member
- Jul 25, 2008
- 2,139
- 91
Ooooh!! I realy like this comment. Mapenzi ni 'imani' tu, ikikosekana hata DNA haina maanaMkuu, Wakatoliki wana kitu wanaita "Kanuni ya imani", kwa ufupi kwamba unatikuwa kuamini kuwa kuna kuna Mungu baba, mwana na roho mtakatifu. Kama huamini hivyo basi kibilia kwingine. Kama na wewe unataka amani kwenye hiyo ndoa yako achana DNA tests unazoziwaza. Unachokaribisha ni kuzimia ghafla (na usirudi tena) kwa pressure. Wazee waliosema kuwa kitanda hakizai haramu hawakuwa wajinga. Jitahidi kumwamini mwenzio vinginevyo umuache. Kwani ikitokea errors kwenye test mtoto tena unayefanana naye akawa siyo wako utakimbilia wapi?