Kuwa na wasiwasi muda mwingi

Masai Mara

Senior Member
Dec 25, 2014
134
54
Wakuu habari zenu,

Hili tatizo la kuwa na wasiwasi au hofu muda mwingi nini chanzo chake

Nawasilisha
 
Wasiwasi unatokana na pepo mchafu aka shetani mbaya unaye mwilini mwako ndio anaye kutia ugonjw awa wasiwasi maelezo zaidi nione nipate kukutibia.
Ukiwa na Shida yoyote ile
Usipo pona kwa Dawa za Hospitali nitafute mimi nipate kukutibia upate kupona ukihitaji matibabu yangu
Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe. fewgoodman@hotmail.com What's App na Viber +905344508169
 
Mkuu huyo shetani ni wa kutupiwa au inakuwaje
 
Wewe kwako inakuwaje, funguka kidogo
nahofia kila kitu mpaka matendo mnayotenda.
hata nikiongea nikifanya kitu
nahofia kurukwa na akili,kushindwa kuji control
niliwahi kuwa na rafiki yangu aliwshi kuchanganyikiwa
imenipelekea kuwa na woga Sana every time

n muda mrefu sasa
 
Vp alishapona lakini huyo rafiki yako.Dah pole sana, najua ni namna gani inasumbua.We unasema ni saikolojia tu, ndio tatizo
 
huo ni ugonjwa wa kitaalam acheni kumchanganya mgonjwa na kuzidi kumtia hofu.wewe unahitaji usaidiwe kisaikolojia na utapona kabisa!usiende kwa sheikh wala usitumie dawa zozote.tumia cognitive behavior therapy itaisha na utasahau
Mzizimkavu anasema ni jini, je hiyo tiba unayosema ipoje
 
yaani unavyotaka kuondolewa hilo jini ni sawa na kuzima moto kwa petrol unajuwa!we nenda kwenye internet utapata mambo mengi kukuhusu wewe tatizo lako.kama ngeli inapanda takutumia link usome ndani ya mda mchache utajiona ulikuwa wapi siku zote
 
mkuu nitumie hiyo link tafadhali
 
Acha bangi maana hilo tatizo la kuwa na hofu lina uhusiano sana na uvutaji wa bangi...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom