Kuwa mwanasiasa TZ lazma uwe Mchawi? Mbona Nyerere alikuwa na fimbo ya uchawi?!

Pasco_jr_ngumi

JF-Expert Member
Nov 20, 2010
1,802
282
hivi ni
lazma uende kwa waganga wa jadi ili ufanye mambo mambo ili uwe mbunge, diwan hata urais? Ni kweli mkwere mganga wake ni shehe yahya?
 
if it had been a few hundred years he would have been burned at Smithfield as a heretic then, the Holy See barbecues wachawi...lol
 
hivi ni
lazma uende kwa waganga wa jadi ili ufanye mambo mambo ili uwe mbunge, diwan hata urais? Ni kweli ------ mganga wake ni shehe yahya?

U guys shud stop talking shit..hiyo fimbo ya Mwl.Nyerere haikua ya uchawi na yeye mwenyewe hakua mchawi,alipewa somthing like a pen na Pope when he went to Rome.Ilikua baraka so hakutaka kuipoteza akaomba wachonga vinyago wamchongee kile kifimbo then waweke ile zawadi mle ndani.He was a man of God,he believed dat was a blessing dats y alikua akitembea nayo kila mahali.Sio mnaongea ongea tuu..mtalaaniwa nyie
 
!
!
ndiyo....Yule marehemu kuna kipindi hadi alizusha kuwa ukimpinga utakufa, na kuna muda mshikaji alipokuwa anaangukaanguka ovyo majukwaani alimuwekea ulinzi usiionekana
 
U guys shud stop talking shit..hiyo fimbo ya Mwl.Nyerere haikua ya uchawi na yeye mwenyewe hakua mchawi,alipewa somthing like a pen na Pope when he went to Rome.Ilikua baraka so hakutaka kuipoteza akaomba wachonga vinyago wamchongee kile kifimbo then waweke ile zawadi mle ndani.He was a man of God,he believed dat was a blessing dats y alikua akitembea nayo kila mahali.Sio mnaongea ongea tuu..mtalaaniwa nyie

Acha longo longo wewe!
Hivi unajua kwanini Mchonga hadi mauti yanamkuta hakuwahi kurudi Sumbawanga baada ya kusahau fimbo yake mezani?
 
Hivi yule mganga wa Bagamoyo anayeviringisha kitambaa cha mita tano kufikia ukubwa wa dole gumba bado yupo hai?
 
Back
Top Bottom