Wana mabaraza yao wale!
Nasikia ndoa ya miaka 5-10 inahesabiwa kuwa bado ni ndoa changa tu...
'Waoga hufa mara elfu moja kabla hawajafa'...
Hivyo kama kufanya tendo la ndoa ni lazima/wajibu/muhimu basi kufunga ndoa nako ni lazima/wajibu/muhimu?
And they have the same/similar standards of proof as the courts of law?
Nasikia ndoa ya miaka 5-10 inahesabiwa kuwa bado ni ndoa changa tu...
'Waoga hufa mara elfu moja kabla hawajafa'...
....Inategemea Mkuu wenye bahati zao huwa bado wako kwenye honeymoon ndefuuuuu....Ukiwaona kama huwajui utadhani wameoana wiki moja iliyopita na ndoa nyingine katika kipindi hicho tayari zinakuwa ziko juu ya mawe.
Kijani rijali ukishavuka umri wa miongo mitatu bila kuoa au kuwa na mtoto unasakamwa huko na kule. 'Hivi mwanetu utaoa lini?', utaulizwa na wajomba na shangazi zako. 'Yaani unataka tufe kabla ya kuona wajukuu?', utahojiwa na mabibi na mababu zako. 'Eti Kaka huna hata mtoto wa kusingiziwa', utasailiwa na dada na kaka zako. Jamani hivi kuoa na kuzaa ni wajibu? Si watu wameshaongezeka na kuijaza nchi? Ni dhambi na laana kutooa na kutozaa kama si mseja?
....Kuwemo kwenye ndoa ama kutokuwemo ni mamuzi mbayo yanatofautiana kati ya mtu na mtu. Utakuta mwingine ambaye aliwahi kuolewa/kuoa lakini bahati mbaya ndoa haikudumu anakwambia akimpata mtu atakayempenda na ambaye atakuwa tayari kuoa/kuolewa basi hatasita kabisa kurudi ndani ya ndoa nyingine kwa sababu maisha ya kuishi bila mume/mke wanayaona ni hayaendani kabisa na wao, na wengine baada ya kuharibikiwa ndoa mara moja ukawasikia wanasema kwamba mie ndoa basi....Kwa maoni yangu ndani ya ndoa kuna mambo mengi sana mazuri ukiachilia mbali hili la kunanihii ambalo nalo linachukua uzito mkubwa sana.
BAK,
umenitoa machozi.... this song reminds me something i never want to remember
tumetoka mbali
Pole, ndio mambo ya kufa mara 1000 hayo?
Ukiweka kwenye mizani(a) hayo mambo mengi sana mazuri yako ndani ya ndoa kuliko nje ya ndoa?
we acha tu....Pole sana Mkuu naupenda sana huo wimbo na ambao umo kwenye soundtrack ya Pretty Woman, sinema ambayo nimeiangalia mara nyingi sana kuliko sinema nyingine yeyote ile na huwa siichoki LOL!...Pole Sana Mkuu.
Ni kweli na wanaoogopa na kuzikimbia ni mafisi maji!"marriage is for the brave hearted"/'ndoa ni kwa wenye moyo wa kijasiri'