Kuwa JF weekend ni dalili ya kuchalala

Huyo Kamanda haitaji starehe ya dakika nne, anahitaji maji ya dhahabu!

Hio nilompatia inatoa mwongozo wa usiku Mzima.... Toka kujiandaa mpaka kuchee.....lol

Hata hivo namshaurie asome Signature yako...
 
Mkuu kwani huna simu ambayo unaweza kuingia na kuchungulia JF hata kama huko kiwanja ya starehe?

Ama ukijiachia unajiachia jumla? Ile wanaita full kuajiachia?lol
 
Mkuu kwani huna simu ambayo unaweza kuingia na kuchungulia JF hata kama huko kiwanja ya starehe?

Ama ukijiachia unajiachia jumla? Ile wanaita full kuajiachia?lol
Ukiwa starehe unajikataa na ishu za JF zinazoumizwa kichwa.......
 
Hii weekend ina dalili mbaya JF mpaka saa hii?
 
weekend rumba sana hii.....raisi mwanajiografia
 
Back
Top Bottom