Kuwa JF weekend ni dalili ya kuchalala

Yo Yo

JF-Expert Member
May 31, 2008
11,217
1,702
Mida hii ukiniona nipo kwenye internet ujue nimechoka mbaya....pesa hakuna....kama leo ni balaa nimechalala mbaya....
 
kila mtu na starehe zake bana
Stsrehe gani mkuu kukaa online 24hrs aisee? wakati huu inabidi niwe naangaliana na watoto wazuri wenye heshima uku tukinywa ile kitu bariiiiiiidi
 
Mi nishapiga bapa zangu mbili, tayari nisharudi mtandaoni...kwani starehe ni lazima ukeshe?
 
Mi nishapiga bapa zangu mbili, tayari nisharudi mtandaoni...kwani starehe ni lazima ukeshe?
Naona una socialize......ila mkuu kukaa online muda huu weekend si ungeweka pembeni net arifu...
 
Wengine hatujui kuchalala, kwetu kila siku ni mwisho wa mwezi.
aisee utakuwa mtoto wa askofu wa merelani....

masaa hayasogei....afu tv za kibongo bana music mbayaaa...
 
aisee utakuwa mtoto wa askofu wa merelani....

masaa hayasogei....afu tv za kibongo bana music mbayaaa...
Kama ulikuwepo vile.
Njoo majuu ule mziki wa ukweli hata kwenye channel za bure.
 
nna hela kama ATM, ila watu wote hapa home wamesafiri, sina wa kutumia naye.
 
Sio utani, kushangaa shangaa JF weekend na hasa zile time nyeti ni dalili tosha kama kuna ugomvi katika mifuko yako! Haingii akilini weekend kadhaa zilizopita ulikuwa adimu jamvini, then ghafla weekend kama hii umejaa tele jamvini! By the way wachangiaji wengi hupenda kusingizia kuwa wanatumia simu!
 
Kama umechalala kula starehe hii..... Haiitaji uwe na fwedha.





Happy New Year YoYo....
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom