Kuvuta Sigara na kutumia bia TZ ni uzalendo?

Msambaa mkweli

JF-Expert Member
Dec 31, 2011
320
342
Wadau naomba kuuliza Je nitakuwa sahihi kusema kwa nchi ya Tanzania mzalendo ni yule ambaye anatumia pombe na sigara, kwa mujibu wa katiba 2012/2013?
 
Katiba inasemaje?

Nahisi unazungumzia bajeti tegemezi ktk vileo na fegi.
Acha kupiga puya na kuvuta moshi. utaisaidia sana hii nchi yetu kupata vyanzo vipya vya mapato.
kwani wewe mgosi unapiga puya! wewe si sala tano na suna zake zote au?
 
Wananchi kunyweni sana bia, soda na vuteni sana sigara kuikoa nchi yenu
 
Tuumize mapafu huku vyanzo vingine vya mapato kama Twiga wetu na madini vikichukuliwa live?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom