Kuvuliwa ubunge kwa Godbless Lema ni anguko la CCM

Feb 8, 2012
92
8
Wanachama wa CHADEMA na wanamageuzi wote ndani na nje ya nchi msiwe na wasiwasi wala hofu kwa kuvuliwa ubunge Lema.Uchaguzi ukirudiwa CHADEMA lazima itashinda tena.Uamuzi huu umejaa ukada wa CCM...huyu jaji anatumiwa na CCM.....CHADEMA itashinda tena kwa ushindi wa KISHINDO...ushindi utakuwa MNONO zaidi wa ule wa awali hivyo itakuwa aibu kwa CCM hali itakayopelekea CCM kuelekea kufa...haya CCM watamsimamisha nani?Batilda?...Kuna tetesi CCM ina mpango wa kupinga ushindi wa mbunge mteule wa CHADEMA ,Nassari wa jimbo la Arumeru.Hii yote ni hila ya CCM na uoga wao kwa CHADEMA.
 
manager kampeni wa CDM ktk uchaguzi huu ni Vicent Nyerere na Nassari.
CCM kushinda arusha ni sawa na ngamia kupenya ktk tundu la sindano.
 
chama la magamba linataka kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya uchaguzi wakati wote wa uongozi wao,kumbe hela zipo bora madaktari na walimu waanze migomo ili kuiamsha sirikali manake inawaza siasa badala ya uchumi. Wameashauriwa juzi tu kuwa maneno mengi kwenye uchumi wetu kuliko vitendo.CCM kuchukua jimbo la Arusha mjini ni dalili ya kifo. Uchaguzi wa Arusha mjini ni zaidi ya Uchaguzi,litatokea balaa kubwa ambalo serikali ya magamba itajuta!!!
 
Mh.Mbowe CHADEMA inapaswa kujiandaa kuchukua jimbo la Arusha kwa ushindi wa kishindo...safari hii CCM ipate aibu maana kuliachia jimbo hili la Arusha kwa CCM ni sawa kuisaliti NGUVU YA UMMA.CDM itazidi kuwa juu zaidi.
 
chama la magamba linataka kuigeuza Tanzania kuwa nchi ya uchaguzi wakati wote wa uongozi wao,kumbe hela zipo bora madaktari na walimu waanze migomo ili kuiamsha sirikali manake inawaza siasa badala ya uchumi. Wameashauriwa juzi tu kuwa maneno mengi kwenye uchumi wetu kuliko vitendo.CCM kuchukua jimbo la Arusha mjini ni dalili ya kifo. Uchaguzi wa Arusha mjini ni zaidi ya Uchaguzi,litatokea balaa kubwa ambalo serikali ya magamba itajuta!!!

Hapo pekundu is just unthinkable! Sijui iwe vipi patokee nitapeleka hoja binafsi bungeni ya kufuta sheria ya vyama vingi nchi hii!

Waungwana wana Chadema wenzangu, tuzidi kumwomba Mungu wetu, bila ya shaka atatutendea haki. Wao wana Jaji sisi tuna Mungu.
 
Back
Top Bottom