Kuvimba kwa Tezi Dume (Benign Prostate Hyperplasia BPH) Featured

acha ujinga! yaani unataka kusema safari nyingi za mkulu kwenda USA ndo zimemletea BPH!!! Acha kumhusisha mkulu wa kaya na rectal ......... intercourse!!! p'se muwe na nidhamu!

Your contribution is senseless, you better keep qt than jumping into something you are not able to deffend
 
[font=&amp]
[/font]

[font=&amp]dalili za bph[/font]
  1. [font=&amp]kushindwa kuthibiti mkojo kiasi cha mkojo kutirika wenyewe[/font]
[font=&amp]madhara ya bph[/font]

  1. kushindwa kutoa shahawa kwenye uume (retrograde ejaculation)
  2. [font=&amp]uhanithi[/font]
[font=&amp]
vipimo na uchunguzi[/font]

  1. [font=&amp]kuchunguza tezi dume kupitia njia ya haja kubwa au digital rectal examination (dre): Hiki ni kipimo cha kwanza kabisa ambacho mgonja hufanyiwa na daktari wake. Ni kipimo kinachoweza kumpa daktari picha ya tatizo na kufahamu kuhusu ukubwa na hali ya tezi dume. Daktari akiwa amevaa glovu huingiza kidole chake cha shahada katika njia ya haja kubwa au puru (rectum) ya mgonjwa kasha kuzungusha zungusha ili kufahamu kama tezi limevimba ama la na pia hali yake kama ni gumu kuliko kawaida ama lina utando na nyama laini.[/font]

[font=&amp]vitu vya kufanya baada ya upasuaji wa tezi dume[/font]

  • [font=&amp]epuka kujikakamua sana unapojihisi kwenda haja kubwa[/font]
[font=&amp]
matatizo yanayoweza kutokea baada ya upasuaji[/font]

  • [font=&amp]shida wakati wa kukojoa: Kawaida huchukua muda wa siku kadhaa mtu kuweza kurejea katika hali yake ya kawaida ya kukojoa.[/font]
  • [font=&amp]shida ya kuthibiti mkojo usitoke ovyo (incontinence): Ni kawaida kwa mgonjwa kushindwa kuthibiti kutoka kwa mkojo katika siku za mwanzo baada ya operesheni. Hata hivyo hali hii hujirekebisha baada ya siku kadhaa kupita.[/font]
  • [font=&amp]kutokwa na damu: Katika siku za wali mara baada ya turp, kidonda kwenye tezi dume kinaweza kuvuja damu ambayo itaonekana katika mkojo. Hta hivyo hali hii hukoma baada ya wiki kadhaa. Hata hivyo iwapo utokaji damu ni mzito sana, inashauriwa kumuona daktari haraka.[/font]
[font=&amp]uwezo wa kufanya ngono baada ya upasuaji[/font]

  • [font=&amp]mdiso au kudindisha (erections): Madaktari wengi husema kuwa iwapo mgonjwa aliweza kupata mdiso au kudinda muda mfupi baada ya upasuaji, uwezo wake wa kuendelea kupa mdiso ni mkubwa zaidi. Hata hivyo iwapo mgonjwa hakuwa na uwezo wa kudisa tangu awali, upasuaji wa tezi dume hauna uwezo wa kumrejeshea uwezo wake wa kudisa.[/font]
  • [font=&amp]kutoa mbegu (ejaculation): Ingawa wanaume waliofanyiwa upasuaji wa tezi dume bado wanaweza kupata mdiso, mara nyingi upasuaji huu huwafanya wawe wagumba yaani wasioweza kupata watoto. Hali hii kwa kitaalamu huitwa retrograde ejaculation au kilele (mshindo) kikavu (dry climax). Kwa kawaida, wakati wa tendo la ngono, mbegu za kiume kutoka kwenye korodani huingia kwenye urethra karibu na kijitundu cha kibofu cha mkojo. Wakati wa tendo la ngono, misuli maalum hufunga kijitundu hicho ili kuzuia mbegu zisiingie kwenye kibofu badala yake zielekee kwenye urethra ya katika uume. Hata hivyo, upasuajiwa bph huondoa misuli hiyo na kufanya mbegu kuingia kwenye kibofu cha mkojo badala ya kuendelea kwenye urethra ya uume. Shahawa hizo hatimaye hutolewa nje ya kibofu pamoja na mkojo.[/font]

source: http://www.tanzmed.com/afya-kwa-uju...kwa-tezi-dume-benign-prostate-hyperplasia-bph
[font=&amp]
[/font]

a short summary. Pole sana profesa
 
Kwa Wale wanaotaka Dawa ya Tiba Mbadala ya Kutibu Kuvimba kwa Tezi Dume ninayo ukitaka wasiliana na mimi kwa kubonyeza hapa.Mawasiliano
 
Dalili za saratani ya tezi dume ni zipi?
Katika hatua zake za awali, dalili za saratani ya tezi dume hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume (BPH). Dalili hizo ni pamoja na

•Kupata shida unapoanza kukojoa
•Kutiririka kwa mkojo baada ya kumaliza kukojoa
•Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
•Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku
•Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote
•Kutoa mkojo uliochanganyika na damu
•Kutoa shahawa zilizochanganyika na damu

TEZI.jpg
 
...hizi kule kwa wenzetu huwa zinabebwa kwenye sahani wakati wa kwenda bafuni
 
Dalili za saratani ya tezi dume ni zipi?
Katika hatua zake za awali, dalili za saratani ya tezi dume hazitofautiani sana na zile za kuvimba kwa tezi dume (BPH). Dalili hizo ni pamoja na

•Kupata shida unapoanza kukojoa
•Kutiririka kwa mkojo baada ya kumaliza kukojoa
•Kukojoa mkojo wenye mtiririko dhaifu
•Kukojoa mara kwa mara hasa nyakati za usiku
•Kujikakamua wakati wa kukojoa na kushindwa kumaliza mkojo wote
•Kutoa mkojo uliochanganyika na damu
•Kutoa shahawa zilizochanganyika na damu

View attachment 201368

Dalili Zake Zingine KUU AMBAZO UMEZISAHAU Ni:
1. MTU KUPENDA KUCHEKACHEKA.
2. MTU KUPENDA KUSAFIRI Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
3. MTU KUPENDA VISASI.
4. MTU KUPENDA SIFA na KUABUDIWA KAMA MFALME.
5. MTU KUPENDA na KUAMINI 100% USHIRIKINA.
6. MTU KUWA KIGEUGEU na NDUMILA KUWILI a.k.a MNAFIKI.
7. KUBWA KULIKO MTU KUPENDA SANA KUFANYA NGONO, KUOA HOVYO HOVYO na KUPENDA MNO KURUKA UKUTA(TIGO).
 
Ngoja nichambue moja baada ya nyingine kuona kama zinamgusa mkulu japo dalili zipo.
 
Dalili Zake Zingine KUU AMBAZO UMEZISAHAU Ni:
1. MTU KUPENDA KUCHEKACHEKA.
2. MTU KUPENDA KUSAFIRI Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
3. MTU KUPENDA VISASI.
4. MTU KUPENDA SIFA na KUABUDIWA KAMA MFALME.
5. MTU KUPENDA na KUAMINI 100% USHIRIKINA.
6. MTU KUWA KIGEUGEU na NDUMILA KUWILI a.k.a MNAFIKI.
7. KUBWA KULIKO MTU KUPENDA SANA KUFANYA NGONO, KUOA HOVYO HOVYO na KUPENDA MNO KURUKA UKUTA(TIGO).

Mbona hizo dalili zote anazo Mr Fastjet aka Vasco da Gamaaa!
 
Dalili Zake Zingine KUU AMBAZO UMEZISAHAU Ni:
1. MTU KUPENDA KUCHEKACHEKA.
2. MTU KUPENDA KUSAFIRI Sanaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa.
3. MTU KUPENDA VISASI.
4. MTU KUPENDA SIFA na KUABUDIWA KAMA MFALME.
5. MTU KUPENDA na KUAMINI 100% USHIRIKINA.
6. MTU KUWA KIGEUGEU na NDUMILA KUWILI a.k.a MNAFIKI.
7. KUBWA KULIKO MTU KUPENDA SANA KUFANYA NGONO, KUOA HOVYO HOVYO na KUPENDA MNO KURUKA UKUTA(TIGO).

Huku ni kutafutiana uhasama
 
tumeona picha wakati anapokewa na daktari. sasa tuwekeeni picha baada ya kupatia dozee yake. anaweza kucmama??
 
Hiyo dalili ya kupenda kuruka ukuta(tigo)..unamaanisha festi ledi wetu haruki mtaro?
 
Back
Top Bottom