Kuvilia damu

ANNASTACIA

Member
Nov 16, 2010
26
1
Jamani nahitaji mtu anisaidie, nikilala usiku nikilalia mkono nakuta kuna sehemu nakuta nimevilia damu kwa ndani, plz help
 
Pole sana kwa tatizo hilo. Umewahi kwenda hospitali? Natumaini unaweza kupata msaada hapa. Nakushauri ujaribu kuangalia aina ya vyakula unavyokula vingine ni sumu katika miili yetu.

Jitahidi kula mboga za majani, matunda na maji kwa wingi. Hata hivyo huu ni ushauri binafsi tu siyo tiba.

Pole sana.
 
Back
Top Bottom