Kuvamiwa kwa Ofisi za Mwanahalisi na Polisi

MMKJJ,
wakati tunasubiri picha (kama zitapatikana), unaweza kuwasiliana na Kamanda Kova, kujua kama ana taarifa ya haya yanayotokea, maana yako chini ya ofisi yake!
 
Polisi walitaka kuwazuia wapiga picha waliokuwapo eneo la tukio, Mzee Ndimara Tengambwage akawakemea na kuwaambia wasithubutu. Walitaka kupekua kila kitu ofisini, lakini wakaogopa waandishi waliofika pale mapema. Kazi ni ngumu sana
 
These chaotic, ignoble and forceful tactics of some agents of state sponsored terrorism, disguised under the cloth of the people's police and the coy of pursuit of law and order, shall not go without the strongest condemnation and a vehemently challenging protest from all peace loving and progressive Tanzanians and their well wishers.

The pattern of unexplained targeting and deliberately obscure crumpling on legitimate media outlets continues to be not only a damper on freedom of press and rights to expression, but also a factor inhibiting the growth of democracy and by proxy the economy. To add insult to injury, all this is done amidst a chorus of propaganda proclaiming Tanzania to be a country of peace and harmony. Sadly, this country is increasingly becoming a police state, with political motives, operations and networks overruling the rule of law, civil and human rights accorded to it's citizen by the Tanzanian constitution and internationally recognized charters from organizations whose membership this country enjoys. Above all, basic human dignity is violated in the most grotesque manner at the slightest whim of some "big shot".

Harsh prison conditions, torture, arrests without warrants, ill treatment of government opponents and activists, and voter intimidation are the norms, not exception. Countless examples just from the past two decades can be cited.The government deliberately maintains an uneducated/ semi literate, severely underpaid police force to ensure complacency and a no question asked attitude.

The involvement and arrest of Ferdinand Mwenda Msepa, a TISS agent, in the barbaric assault on Mwanahalisi editors on January 5th should put to rest any doubt that there is a state orchestrated effort to silence the journalistic duty carried out by Mwanahalisi. What the oppressive masterminds do not know is that, in repeatedly and forcefully violating Mwanahalisi's rights, they are only making Mwanahalisi a "cause celebre" and martyr in the realm of political commentary.

Transparency, now a relic of a once cherished long held campaign slogan certainly seems to be a fleeting illusion trumped up for political maneuvres, but not actually delievered.Blatant trickery is used in arrests, access to legal counsel is often denied, "suspect's" rights are not disclosed as stipulated and customary. The plight of the politically unconnected or undesirable is often reduced to compromising principles or languishing in a filthy cell, with no light and legal representation for days .The presidency concentrates undue and dangerous powers to arrest without trial.

Human rights and freedom for individuals are tenets of the rule of law.If Tanzania wants to be a modern nation, progressive socially and economically, then it's government and state institutions should cease operating like some Gestapo chekist bent on rounding up dissenting journalists and members of the opposition.This habit only underscore how much of a dinosaur and steam engine from another era this incompetent government is.

The people of Tanzania deserve better, they deserve a transparent, efficient, respectful and responsively accountable governance.

I wish to hereby register my due dissapointment not only from this incident, but also this ugly and steady trend.
 
Kaka mambo yatakuwa vizuri saa karibu ya saa saba kamili EST tutakuwa hewani kwenye KLH News.. na tunatarajia kwenda hadi Dar.. kulifuatilia suala hili kwa ukaribu..
 
Nimefanikiwa kufika kwenda katika office za mwanahalisi jioni hii , habari zaidi zinasema kwamba kibali walichokuwa nacho polisi kilikuwa kinaonyesha anayetakiwa kusachiwa ni peter msangi ambaye inasemekana ni mfanyakazi wa office moja ya serikali ambaye ndio anayetoa baadhi ya nyaraka za siri za serikali kwa baadhi ya watu ikiwemo mwanahalisi na vyombo vingine vya habari haijulikani haswa kwanini huyo mtu alikuwa anafanya hivyo na ni kwa amri au kwa ushirikiano na nani haswa mpaka hapo habari zinatakpoletwa zidi baada ya polisi kufanya zoezi lao hili .

Habari zaidi pia zitapatikana katika vyombo vya habari vya kesho kwa sababu wengi wao walikwepo hapo wakati polisi wakitaka kufanya zoezi hilo , kwa sababu walipewa taarifa na mwanahalisi wenyewe kwamba wamevamiwa na wanataka kukaguliwa kulikuwa na kuvurugu kidogo kutokana na hiyo warranty ya kusachi office za mwanahalisi na polisi hawakupenda habari hii ipigwe picha za video walikuwa wanajitahidi kwa njia zote

Mpaka sasa hivi gazeti la mwanahalisi toleo jipya limeharibiwa kwa sababu leo komputa yao kuu wanayotumia kwa shuguli hizo ndio iliyoochukuliwa pamoja na flash na vifaa vingine ambavyo hawajavitaja kwa sababu zao wanazozijua wao , bado nimekuwa na shauku ya kuweza kujua jamaa wao wa IT ni nani ambaye hafanyi backup ya kila kitu wanachofanya gazeti kama hili walitakiwa wawe na backup ya ziada hazwa kwa njia ya mtandao tena kuna mitandao mingine inatoa huduma hii ya backup bure tu kila unachofanya kinahifandhiwa huko majuu kwahiyo wakichukuwa computrer au chochote baada ya sekunde tu unarudi tena hewani kama kawa .
 
Shy,

Please stop flooding the thread with the same posts. It has already been registered.

Thank you.
 
Itabidi waangalie utaratibu mpya wa hii back-up la sivyo kazi zao zitakuwa zinakwama. kama update yoyote imepatikana tupeni habari.
 
Jamani nchi yetu inaelekea kubaya, naamini kabisa polisi hapa watakuwa wametumiwa kutekeleza matakwa binafsi ya kundi fulani la mafisadi. Nchi yoyote ambako uhuru wa vyombo vya habari unabakwa mchana kweupe namna hii haina tofauti na Zimbabwe na inastahili kuwa treated na jumuia ya kimataifa kama Zimbabwe!
 
Hivi Kubenea hawezi kugoma kuhojiwa hadi azungumze na wakili wake?
Ama hiyo haikubaliki bongo?
Na pili...Ni mahakama gani hiyo iliyotowa hiyo warant?
Maana kabla ya mahakama kutowa warrant hiyo ni lazima jaji ama hakimu awe amepewa ushahidi mzito dhidi ya Mwanahalisi.
Hiyo ndivyo sheria na haki.

NB:Niliposema Tume ya Mwema si ya kutafuta mafisadi bali waliovujisha siri mkabisha!
Kuweni makini kwani hata hapa Marekani kuna printer mpya ambazo kazi yake ni hiyo.
 
Hali ni ngumu sana hawa jamaa ndio wanaitwa smooth operators........kama kuna mauzauza ni haya na hii story naambiwa kuwa inahusiana pia na mambo ya Nape vs uvccm
 
Mtashangaa ni kivipi yule bi Valerie aliyekuwa CIA na watu wa Bush kuvujisha siri zake kuwa ni CIA kwasababu tu alisema mambo ambayo ni kinyume.
Sasa kuna printer hizo ambazo document zote unazo print na yenye we inanasa na mawasiliano yanaenda huko mnakojuwa.
Ni noma. Ni sawa hata na hiyo surveillance...Sasa wao walidai ni ya magaidi lakini i doubt it.
Ni sawa tu na kina Mwema waliposema nia ya kamati hiyo ni kuwachunguza mafisadi..Nia kweli ilikuwa ni kuona issue ililiki vipi.
Kwasababu hakuna ushahidi ambao haukuwepo dhidi ya mafisadi.
Hatua kama hizi nilizitabiri na kusema ukweli nashangazwa ni kwanini mpaka sasa hatujasikia kauli za hao wa Canada walio pull back na badala yake ni ndege a rais kugongwa na gari(unaweza kuta kaadiwa mpya na wa Canada hao)Kwani leo si ijumaa?
Na sasa ni wazalendo kina Kubenea...Watu ambao tayari ni VICTIMS!
Kumwagiwa tindikali si watu the same no more...Even pschologically...Lakini ni mashujaa!
Kina Tundu Lissu tunahitaji kuwasikia...MKJJ kama ukiunganisha bongo tungependa kumsikia LISSU.
 
Hali ni ngumu sana hawa jamaa ndio wanaitwa smooth operators........kama kuna mauzauza ni haya na hii story naambiwa kuwa inahusiana pia na mambo ya Nape vs uvccm

Usalama wa Taifa ni wale wale na hawajabadilishwa!
Ni wale wale walifanya UFISADI WOTE HUU!
Sasa nani anaetaka kuleta machafuko?
Usalama wa Taifa si nasikia ni watoto wa vigogo?
 
Long way we have bado hawa jamaa hawaamini kuwa kumbe walichokuwa wanatafuta hakipo ila wamekosea njia ,kesho utawasikia wakisema walikuwa wanafuatilia mali ya wizi ama kuna taarifa za kulinda taifa......
 
wanapoteza muda hao!!!!!jf lets b together
polen mwanahalisi !!!!1
 
Kubenea pole maana wapambanaji siku zote ukutana na haya. Usikate tamaa wala usirudi nyuma.
Najua sasa watakuja na jf.
Mods wetu jua jinsi ya kutunza datas ili zisije zikaingia mikononi mwa hawa wezi wa kutumia fatuma.
 
tutakuwa na mzee tegambwage baada ya ndani ya nusu saa ijayo kwenye KLH News.. na labda watu wengine vile vile..
 
shame Jakaya Mrisho Kikwete Na Serikali Yako Ya K******

Kuanzia Jeshi Lako Chafu Fisadi La Polisi Mwenzio Mwema

Na Wote Mtakaoendelea Kuwasumbua Watoto Wa Mungu

Daudi Wa Tanzania Kubenea Amka Mapambano Yameanza

Hakuna Kurudi Nyuma!!!!!!!!



Bwana Utuokoe Na Serikali Hiii Ya Mafisadi

Jakaya Nenda Na Unafiki Wako Ukampe Pole Tena Ofisini

Shame Again Na Serikali Yako Yoteeeeeeeeee
 
Hawa polisi wa bongo wanajaribu kuleta vitisho kwa kuvunja sheria ya freedom of speech. Wanadhani wataweza kusimamisha jitihada za watu kujua ukweli na kupata haki zao. Kwani kuchukua flash ndio nini, They are too backward they cant catch up with Technology.
 
Back
Top Bottom