Kuuza pombe Zenj is a death sentence!

Status
Not open for further replies.
naona humu kuna waislamu wakorofi...mmepewa aya sasa cha kufanya tupeni maana yake ugomvi uishe...kumbukeni wote sisi ni ndugu

Hakuna mkorofi hapa, amani ipo tu mzee. Yeye katuwekea kipande cha aya ambacho chini yake kuna maelezo ya ufafanuzi wa hiyo aya. Vitabu hivi vimekusanya mambo mengi mengi. Kutajwa kitu haramu haina maana ndiyo kimeruhusiwa kutumika. Pale imetajwa divai, au mvinyo hakuna ajabu la kushangaza. Kwa mfano, tunajua kuwa bangi ina madhara kwa binadamu. Lakini mbangi si umeumbwa na yeye mwenyewe Mungu? Ndiye yeye huyohuyo inaitaja divai hapo. Lakini anaitaja vipi, pale chini kuna ufafanuzi.
 
Baada ya kuupitia ufafanuzi wa quran 47:15 nenda sura Al-Maaidah (5) 90. "enyi mlioamini! Bila ya shaka ulevi, na kamari na kuabudu masanamu, na kupiga ramli, ni uchafu katika kazi ya shetani. Basi jiepusheni navyo, ili mpate kufanikiwa...Ukimaliza fungua www.salahallah.com/swahili/35 fungua kifungua namba 35 ili ujue aina ya mvinyo uliokusudiwa katika 47:15 katika aya hiyo.
 
hivi mimi na maisha yangu yanadhuru vipi imani yako?
au mungu wenu hayupo strong ndo mana mnam "handle with care?"
 
mbona hawa perpetrators wanaochoma bar na kuzuia biashara ya pombe zanzibar sijasikia kama wameshitakiwa.au serikali yao nayo inaunga mkono haya maswala,maana kama walikuwa na bunduki,walikuwa na mpango wa kuua kabisa
wakiachwa hawa watakuwa boko haram na alshabaab wengine.
HUU UJINGA WAO WAUFANYIE HUKOHUKO VISIWANI,HUKU BARA WASIDANGANYWE KUANZISHA HII VITA,ITAWACOST
 
Mbona vijana wengi zenji wanakula sana unga na hawawafanyi kitu ? Au hiyo dini inaruhusu ?
 
mbona hawa perpetrators wanaochoma bar na kuzuia biashara ya pombe zanzibar sijasikia kama wameshitakiwa.au serikali yao nayo inaunga mkono haya maswala,maana kama walikuwa na bunduki,walikuwa na mpango wa kuua kabisa
wakiachwa hawa watakuwa boko haram na alshabaab wengine.
HUU UJINGA WAO WAUFANYIE HUKOHUKO VISIWANI,HUKU BARA WASIDANGANYWE KUANZISHA HII VITA,ITAWACOST
Inaonekana serikali ya mapinduzi zanzibar inaunga mkono vitu hivi. Kuna siku eti polisi waliwatanya kwa kufyatua risasi hewani jamaa waliokuwa wanataka kuchoma kanisa na hakuna aliyekamatwa. jiulize inakuwaje polisi wawatawanye wahalifu badala ya kujaribu kuwaweka chini ya ulinzi ili kupata ushahidi?
 
Sasa kwani lazima waendelee kuuza kuhatarisha maisha yao? si waondoke tu au wafanye biashara nyingine?

Halafu licha ya hayo, upande wa pili wa shillingi unaonesha kuna hujuma zinazotoka jirani ambazo zimeathirika kwa utalii wa pwani, kwani Zanzibar inawachota watalii wote. Nalo la kutazamwa pia.

Nakushauri, bwana muuza pombe, ondoka au fanya biashara nyingine, mradi wamesha muuwa baba'ko na wewe wamesha kutia ulemavu ni bora tu ukubali yaishe, kwa kufanya biashara zingine au kuondoka. Wacha hoteli za watali waagize wenyewe pombe zifikie hukohuko hotelini, HOTELI ZA WATALII WAKATI UNA DUKA MJI MKONGWE LINAMUUZIA KILA MTU?
 
hivi mimi na maisha yangu yanadhuru vipi imani yako?
au mungu wenu hayupo strong ndo mana mnam "handle with care?"
Bila vitisho nadhani hii dini inaweza kukosa watu. Na hata hizi chokochoko zote za kuvunja muungano inaweza ikawa zinachochewa na udini tu. Kungekuwa na population 99% wakristo Zanzibar, waislam wangeruhusiwa kujenga utitiri wa misikiti bila bugudha yeyote. Sasa wenyewe wapo 99% lakini bado wana hofu kubwa na makanisa machace tu yaliyopo Zanzibar. Kama Uislam ni dini nzuri hata zikijengwa bar ngapi na makanisa mangapi si wa watu wataufuata tu Uislam...!? Sielewi hofu ya wenzetu kwa kweli.
 
Mimi simo na huo muungano na ufe hii "SOMALIA" mpya ijiamulie mambo yake hata kama kuchapana kwenye KIA shauri yao.
 
Status
Not open for further replies.
2 Reactions
Reply
Back
Top Bottom