Kuunlock sasatel moderm

raia tz

Member
Nov 21, 2011
89
16
Wana jf habari zenu,nina moderm ya sasatel ni zile ambazo hauweki line(in built line),sasa nahitaji kuiunlock ili nitumie line zote,wanaziita cdmi(kuna mtaalam kaniambia jina hilo) nifanyaje wakuu.
 
Haijapata ufumbuzi kwasasa mkuu ni kama haiwezekani.
Na ukiweza utaitumia kwa ttcl na zantel tu ndio wanatumia mfumo wa cdma
 
Back
Top Bottom