Kuungama kwa padri

ARV

JF-Expert Member
Sep 6, 2011
4,954
6,940
Mdada mmoja alienda kanisani kuungama,akaingia katika kichumba cha maungamo akapiga magoti mbele ya padri.akaanza kutaja dhambi zake.'dhambi zangu ni hizi,niliwatumia watu wengi sana messege za matusi na picha za ngono..'kabla hajaendelea padri akamsogelea karibu haraka haraka akamnong'oneza 'na mimi nifowadie'.

shame on u.!

Heshimu imani ya wenzako. Asanteni wa changiaji mliopita.
Ni kweli kuna umuhimu wa kuheshimu imani ya wenzako, lakini at the same time kama mtu ana valid questions si vibaya kuuliza. Hapa tunaelimishana bila kukehebiana ama kukashifiana.
Having said that, swali langu: Ni wapi kwenye Bible imesema tukaungame kwa padre ama askofu? nawasilisha

Yesu mwenyewe kabla ya kuondoka duniani alimkabidhi Petro mamlaka,akamwambia "UTAKACHO KIFUNGA DUNIANI NA MBINGUNI KITAKUWA KIMEFUNGWA,NA UTAKACHO KIFUNGUA DUNIANI NA MBINGUNI KITAKAKUWA KIMEFUNGULIWA" kanisa Katoliki msingi wake ni Petro ambaye Yesu alimwachia funguo. Kuungama kupitia padri haimaanishi kwamba padri ndiye anayeondoa au kusamehe dhambi bali ni mungu mwenyezi,padri yeye ni njia tu ya kuwasilisha toba zetu kwa mungu. Nadhani utakuwa umenielewa. Nadhani ingekuwa busara kama ungaliuliza swali lako kabla ya kupost kichekesho chako.

Yesu mwenyewe kabla ya kundoka duniani alimkabidhi Petro mamlaka,akamwambia "UTAKACHO KIFUNGA DUNIANI NA MBINGUNI KITAKUWA KIMEFUNGWA,NA UTAKACHO KIFUNGUA DUNIANI NA MBINGUNI KITAKAKUWA KIMEFUNGULIWA" kanisa Katoliki msingi wake ni Petro ambaye Yesu alimwachia funguo. Kuungama kupitia padri haimaanishi kwamba padri ndiye anayeondoa au kusamehe dhambi bali ni mungu mwenyezi,padri yeye ni njia tu ya kuwasilisha toba zetu kwa mungu. Nadhani utakuwa umenielewa. Nadhani ingekuwa busara kama ungaliuliza swali lako kabla ya kupost kichekesho chako.
Ninachouliza naomba nipatie wapi kwenye Bible niende ili nipate hii habari ya kuungama kwa padri? sijaongea kichekesho wala sitaki mzaha, mimi nataka nipatie sura na mstari ktk kitabu cha biblia niende huko

Ni kweli kuna umuhimu wa kuheshimu imani ya wenzako, lakini at the same time kama mtu ana valid questions si vibaya kuuliza. Hapa tunaelimishana bila kukehebiana ama kukashifiana.
Having said that, swali langu: Ni wapi kwenye Bible imesema tukaungame kwa padre ama askofu? nawasilisha

Kama wewe ni mwanaume basi ni mbeya sana. Unataka kila kitu kiwe kimeandikwa kwenye biblia. Una soma biblia kwa alkili yako au kwa masaburi yako. Kuna kosa gani kama naungama kwa mjumbe wa Mungu ili anipe ushauri kwa dhambi zangu kadiri imani yangu inavyoniruhusu. Kama imani yako inataka umfiche mtumishi wake na kuungama moja kwa moja kwake basi na iwe hivyo.

Huwezi kunifanya niabudu kama unavyotaka wewe. Uheshimu imani ya wenzako. Usiwe kama wazungu waliodharau imani zetu nakuziita za kijinga na sisi tukaziona za kijinga tukafuata imani za kiarabu na kizungu. Kila mwenye imani ya asili leo anaonekana kama mshamba na wewe ukiwaona kama washamba. Mungu hayupo kwa Wakristo tu au kama unavyodhani wewe Mungu yupo kwa walokole kwa sababu hawaungami kwa padri bali Mungu ni wa wote wawe wenye dhambi na wasiona dhambi au wenye imani za kiarabu au imani za kizungu au imani asili; Mungu niwa wote.

Kwa hiyo uwe mstaarabu kwa imani za watu. Kakuambia nani kuwa wewe kujiungamia ndiyo sahihi. Kujikweza ni tabia mbaya sana ambayo mwanadamu anayo na hii usipojichunguza itakutafuna.

Kuna ile ahadi ya mwanaTANU ambayo mi nimeipenda: Binadamu wote ni ndugu zangu. Kwa hiyo kama anaabudu miti au mito mikubwa hawezi kuwa ndugu yako? Au kama ni Mwislamu au Mkatoliki anayeabudu kwa padri si ndugu yako kwa sababu ana imani ya kishenzi.

Ungekuwa umeshika mafundisho ya kiimani vizuri usingemdharau binadamu mwenzako kwa imani yake. Mungu si Mkatoliki, Mlokole, Mwislamu wala imani asili wala Budha wala Saibaba, Mungu ni Mwenyezi. Hajibagui kwa imani zetu kama wanadamu kama wewe unavyofanya.

KUMBUKA: Tutahukumiwa kwa matendo yetu tu wala si kwa imani zetu.

Ninachouliza naomba nipatie wapi kwenye Bible niende ili nipate hii habari ya kuungama kwa padri?

haujanielewa vizuri kaka,kupata wapi ilipoandikwa kwenye biblia sio tija,kama nilivyokuambia msingi wa kanisa katoliki ni nini,hizi ni taratibu za kanisa zikifuata na kuamini maneno ya Yesu mwenyewe kwa petro ambaye aliachwa kama msimamizi wa kanisa.

Sio vyote tunavyo vitenda katika imani za kidini vimeandikwa katka biblia ama quran,nyingine zinakuwa ni taratibu zilizowekwa kwa ajili ya kuwaongoza watu wa mungu kufuata njia iliyosahihi.

Kama wewe ni mwanaume basi ni mbeya sana. Unataka kila kitu kiwe kimeandikwa kwenye biblia. Una soma biblia kwa alkili yako au kwa masaburi yako. Kuna kosa gani kama naungama kwa mjumbe wa Mungu ili anipe ushauri kwa dhambi zangu kadiri imani yangu inavyoniruhusu. Kama imani yako inataka umfiche mtumishi wake na kuungama moja kwa moja kwake basi na iwe hivyo.

Huwezi kunifanya niabudu kama unavyotaka wewe. Uheshimu imani ya wenzako. Usiwe kama wazungu waliodharau imani zetu nakuziita za kijinga na sisi tukaziona za kijinga tukafuata imani za kiarabu na kizungu. Kila mwenye imani ya asili leo anaonekana kama mshamba na wewe ukiwaona kama washamba. Mungu hayupo kwa Wakristo tu au kama unavyodhani wewe Mungu yupo kwa walokole kwa sababu hawaungami kwa padri bali Mungu ni wa wote wawe wenye dhambi na wasiona dhambi au wenye imani za kiarabu au imani za kizungu au imani asili; Mungu niwa wote.

Kwa hiyo uwe mstaarabu kwa imani za watu. Kakuambia nani kuwa wewe kujiungamia ndiyo sahihi. Kujikweza ni tabia mbaya sana ambayo mwanadamu anayo na hii usipojichunguza itakutafuna.

Kuna ile ahadi ya mwanaTANU ambayo mi nimeipenda: Binadamu wote ni ndugu zangu. Kwa hiyo kama anaabudu miti au mito mikubwa hawezi kuwa ndugu yako? Au kama ni Mwislamu au Mkatoliki anayeabudu kwa padri si ndugu yako kwa sababu ana imani ya kishenzi.

Ungekuwa umeshika mafundisho ya kiimani vizuri usingemdharau binadamu mwenzako kwa imani yake. Mungu si Mkatoliki, Mlokole, Mwislamu wala imani asili wala Budha wala Saibaba, Mungu ni Mwenyezi. Hajibagui kwa imani zetu kama wanadamu kama wewe unavyofanya.

KUMBUKA: Tutahukumiwa kwa matendo yetu tu wala si kwa imani zetu.
Unapindisha mambo hapa na kukimbia ukweli. sijadharau mtu wala dini ya mtu.
Kama mjumbe wa Mungu ni mwenye maovu kuna uhalali gani wa mimi kuamini kuwa yeye ni mjumbe wa Mungu? Ninachotaka ni facts hapa na sio jazba. To say the least niambie wapi kwenye Bible imeandikwa kwamba naweza kwenda kutubu kwa padre ili niende sasa hivi kusoma. Vinginevyo tutabishana hadi asubuhi hapa

Unapindisha mambo hapa na kukimbia ukweli. sijadharau mtu wala dini ya mtu. Kama mjumbe wa Mungu ni mwenye maovu kuna uhalali gani wa mimi kuamini kuwa yeye ni mjumbe wa Mungu? Ninachotaka ni facts hapa na sio jazba. To say the least niambie wapi kwenye Bible imeandikwa kwamba naweza kwenda kutubu kwa padre ili niende sasa hivi kusoma. Vinginevyo tutabishana hadi asubuhi hapa

hivi ukikubali kosa na ukatubu c yatakuwa yameisha?,dah mshkaj wewe ni wa ajabu sana yan umepotoka(naamini kwa bahati mbaya) sasa watu wanakushauri wewe unaleta jeuri na mabishano yasiyo na tija kwako,. kubali kuwa hujui ili ujue zaidi. Mungu wetu akubaliki sana.

Kuungama dhambi kwa padri ni sheria ya kidini ambayo pia kwa kuwa ni ya kidini moja kwa moja Mungu anaikubali, usipoungama kwa padri utaungama kwa nani au ulitaka tukaungame mbele ya mti? au tukapige magoti mbele ya mlima? Mimi ndie nilieanzisha hii thread iishie hapa, lakini swala la padri kuomba afowadiwe messege, kama aliomba aliomba tuu, ni swala lake binafsi, USIBISHE KUWA HAWEZI KUOMBA!

nimeipenda hiyo, ingawa ni ya siku nyingi, tukumbuke kuwa hili ni jukwaa la udaku so usimlaum sanamtoa mada

utani hata kwa vi2 ambavyo ni sensitive jamanan?,hapana c kweli ndo maana K....e huwa mnalaumu eti anachekacheka hata kwny huzuni,.da same 2 ths issue. Mi nadhani amekiri na ameomba tufunge mjadala hilo la muhm na nhnampongeza sana kwa hilo.

Ni kweli kuna umuhimu wa kuheshimu imani ya wenzako, lakini at the same time kama mtu ana valid questions si vibaya kuuliza. Hapa tunaelimishana bila kukehebiana ama kukashifiana.

Having said that, swali langu: Ni wapi kwenye Bible imesema tukaungame kwa padre ama askofu? nawasilisha

muanzisha mada chizi,wewe mwendawazimu.

Back
Top Bottom