kuunga simu na huduma ya mtandao

The only

JF-Expert Member
May 19, 2011
10,433
13,415
asee simu yangu ni nokia c9 ina line ya voda na tigo nashindwa kujiunga

so mchina?? Maybe nkupe ip adress tigo 010.168.020.080 nenda kaedit acces point yoyote bonyeza option nenda advance option ip adress eka hizo na port eka 8080 utatumia mtandao wowote,

INTERNET SIMU YA MCHINA!
Hallow, Nimepata maswali mengi toka kwa wadau wa manase jinsi gani wanaweza kuunganisha michina yao Iweze tumia internet..Simu za kichina ni simu nzuri sana japo zina mapungufu mengi ila pia zina faida kem kem..Kuunganisha internet kwenye mchina wako ni rafisi sana Haina haja ya kwenda ofisi za tigo wala voda wala nini, Tuliza kichwa chini na ufatishe haya maelekezo hatua kwa hatua.

VITU VYA KUZINGATIA
1. APN : Internet
2. Home page: ::BONGO MUZIKI::
3. Proxy adress: 010.111.033.243(Au angalia kwenyesimu iliyokubali internet)
4. Proxy port: 8080
Kumbuka kuwa Baadhi ya mitandao huwa inaingiliana proxy,so ukiseti hizi unaweza weka line yoyote na ikakubali,ila zingine hazikubali hadi ujue proxy zake. kufahamu tafuta simu ambayo imeunganishwa tayari,nenda kwenye setingi na utafute mwenyewe

SASA FATA HATUA KWA HATUA.KWANZA TUBADILISHE Data Account. FANYA HIVI ;-
1. Bonyeza Services => Data account => GPRS
2. Bonyeza profile yoyote na Bonyeza "edit profile"
3. Ipe jina hiyo profile. (mfano: kwa tigo andika "TIGO")
4. Andika APN (internet)
5. Sehemu ya username na password USIJAZE KITU na authentication weka normal
6. Sasa save profile yako na iactivate
HATUA YA PILI NI KUSET GPRS setting kwa kutumia Data account ya hapo juu. FANYA HIVI ;-
1. Nenda kwenye Services => WAP =>Settings=>Edit profile

4. Ipe mtandao (::BONGO MUZIKI::)
5. Kwenye Data account select Ile tuliyo iseti kwenye hatua ya kwanza
6. Kwenye connection type chagua HTTP na ipe ile proxy adress na proxy port
7. Sasa save na activate
8. Tayari sasa waweza ku surf web, gprs umesha iactivated kwenye mChina mobile yako Huu ni mfano kwa tigo tu.

Fatisha maelekezo haya kwa mitandao mingine pia. Nitaendelea kuwapatia Proxy adress za mitandao mingine kwa ajili ya mchina mobile yako. Endelea kusubiri..

All thanks to Mr manase

SOURCE LINK SIMU ZA KICHINA

APN : Internet

Home page: ::BONGO MUZIKI::

Proxy adress: 010.111.033.243(Au angalia kwenyesimu iliyokubali internet)

Proxy port: 8080

Kumbuka kuwa Baadhi ya mitandao huwa inaingiliana proxy,so ukiseti hizi unaweza weka line yoyote na ikakubali,ila zingine hazikubali hadi ujue proxy zake. kufahamu tafuta simu ambayo imeunganishwa tayari,nenda kwenye setingi na utafute mwenyewe

SASA FATA HATUA KWA HATUA.KWANZA TUBADILISHE Data Account. FANYA HIVI ;-

Bonyeza Services => Data account => GPRS

Bonyeza profile yoyote na Bonyeza "edit profile"

Ipe jina hiyo profile. (mfano: kwa tigo andika "TIGO")

Andika APN (internet)

Sehemu ya username na password USIJAZE KITU na authentication weka normal

Sasa save profile yako na iactivate

HATUA YA PILI NI KUSET GPRS setting kwa kutumia Data account ya hapo juu. FANYA HIVI ;-

Nenda kwenye Services => WAP =>Settings=>Edit profile

Bonyeza profile yoyote na Bonyeza "edit profile"

Ipe jina hiyo profile. (mfano: kwa tigo andika "TIGO")

Ipe mtandao (::BONGO MUZIKI::)

Kwenye Data account select Ile tuliyo iseti kwenye hatua ya kwanza

Kwenye connection type chagua HTTP na ipe ile proxy adress na proxy port

Sasa save na activate

Tayari sasa waweza ku surf web, gprs umesha iactivated kwenye mChina mobile yako Huu ni mfano kwa tigo tu.

Fatisha maelekezo haya kwa mitandao mingine pia. Nitaendelea kuwapatia Proxy adress za mitandao mingine kwa ajili ya mchina mobile yako. Endelea kusubiri..

All thanks to Mr manase

SOURCE LINK SIMU ZA KICHINA

asante kwa kutumiminia maujuzi

INTERNET SIMU YA MCHINA!
Hallow, Nimepata maswali mengi toka kwa wadau wa manase jinsi gani wanaweza kuunganisha michina yao Iweze tumia internet..Simu za kichina ni simu nzuri sana japo zina mapungufu mengi ila pia zina faida kem kem..Kuunganisha internet kwenye mchina wako ni rafisi sana Haina haja ya kwenda ofisi za tigo wala voda wala nini, Tuliza kichwa chini na ufatishe haya maelekezo hatua kwa hatua.

VITU VYA KUZINGATIA

1. APN : Internet
2. Home page: ::BONGO MUZIKI::
3. Proxy adress: 010.111.033.243(Au angalia kwenyesimu iliyokubali internet)
4. Proxy port: 8080
Kumbuka kuwa Baadhi ya mitandao huwa inaingiliana proxy,so ukiseti hizi unaweza weka line yoyote na ikakubali,ila zingine hazikubali hadi ujue proxy zake. kufahamu tafuta simu ambayo imeunganishwa tayari,nenda kwenye setingi na utafute mwenyewe

SASA FATA HATUA KWA HATUA.KWANZA TUBADILISHE Data Account. FANYA HIVI ;-
1. Bonyeza Services => Data account => GPRS
2. Bonyeza profile yoyote na Bonyeza "edit profile"
3. Ipe jina hiyo profile. (mfano: kwa tigo andika "TIGO")
4. Andika APN (internet)
5. Sehemu ya username na password USIJAZE KITU na authentication weka normal
6. Sasa save profile yako na iactivate
HATUA YA PILI NI KUSET GPRS setting kwa kutumia Data account ya hapo juu. FANYA HIVI ;-
1. Nenda kwenye Services => WAP =>Settings=>Edit profile
2. Bonyeza profile yoyote na Bonyeza "edit profile"
3. Ipe jina hiyo profile. (mfano: kwa tigo andika "TIGO")
4. Ipe mtandao (::BONGO MUZIKI::)
5. Kwenye Data account select Ile tuliyo iseti kwenye hatua ya kwanza
6. Kwenye connection type chagua HTTP na ipe ile proxy adress na proxy port
7. Sasa save na activate
8. Tayari sasa waweza ku surf web, gprs umesha iactivated kwenye mChina mobile yako Huu ni mfano kwa tigo tu.

Fatisha maelekezo haya kwa mitandao mingine pia. Nitaendelea kuwapatia Proxy adress za mitandao mingine kwa ajili ya mchina mobile yako. Endelea kusubiri..

All thanks to Mr manase

SOURCE LINK SIMU ZA KICHINA
asee broo nakushukuru u real a gentle

Back
Top Bottom