unatumia mtandao gani?Wana jamii forums, wale wajuzi wa vilongalonga vya mkononi, nisaidieni jinsi ya kuiunga simu yangu aina ya nokia 2690 kwenye mtandao wa internet.
Natanguliza shukrani zangu kwenu,
Piga costomer care wakupe njia yakufanya!!kama manualy haitakinatumia mtandao wa Airtel zamani ukiitwa Zain, Aksanteni.
Ingia sehemu ya msg andika ACCESS kisha tuma kwenda namba 232, Save setting utakazo tumiwa.
AU kwenye msg andika INTERNET tuma kwenda 232 , Save setting utakazo tumiwa.
Kumbuka ku Set default hizo setting ulizo save.
Then nenda sehemu ya WEB /Internet menu ya simu yako ,
Bofya OPTION kisha GO TO anndika hii web adress mini.opera.com
hapo utaweza kudownload the world fastest mobile browser OPERA MINI.
Pia waweza kujaribu ucweb browser toka hapa www.uc.cn/English/
Ukifanikiwa tujulishe hapa kwenye javi.
nawashukuru sana wanajamii, nimejaribu njia hizo hapo juu nikakumbana na SMS isemayo ''service is not available at the moment'' au simu aina hii ni Kanyaboya??
wana jamiiforums, shukrani nyigi kwa msaada wa kila aina mlionisaidia, tatizo limekwisha, sasa twaweza kuwasiliana hata sehemu nje na mijini mradi signal za mtandao unafika. Idumu jamiiforums.
senkiyuni, ndaga fijo, wabeja, nyongise, asandu, ashe nale, aikambe!!.......... :happy: :laugh: :laugh: