Kuuliza siyo ujinga: Kicheche

WomanOfSubstance

JF-Expert Member
May 30, 2008
5,457
956
Mara nyingi hukutana na neno hili..KICHECHE.. likitumika kuwalenga wanawake... sijaweza kuelewa vizuri hasa nini maana yake.

Nijuavyo mimi kicheche ni mnyama wa porini ambaye hula vifaranga kama sijakosea.

Wajuzi wa mambo naomba kufahamishwa nini hasa maana ya kicheche pale linapoelekezwa kwa wanawake?
 
Kicheche ni kinyama fulani hivi kinachoruka ruka na kukimbia kimbia bila kueleweka.

Kwa hiyo kuna wale wenzetu , wasio muelekeo, msimamo, self worth, macho juu, akili fupi, bora liende etc hususan katika kasia ya mahusiano ya mapenzi, wanaitwa vicheche.

Variation ya wengine huwaita "chicken head" na "hood rats" ingawa kuna tofauti subtle.

Halafu, kama alivyosema Ice T katika "some of these ni**ers is b*tches too", kicheche si lazima awe mtu wa jinsia ya kike, hata mtu wa jinsia ya kiume mwenye tabia hizo ni kicheche tu, kwa sababu essence ya ukicheche ni tabia na wala si jinsia.Ila kwa sababu mfumodume unalinganisha ukicheche wa kuonja hapa na pale kwa mwanaume na urijali, vicheche wa kiume wanaweza kusifiwa kwa urijali wakati wa kike wakaitwa vicheche in a derogatory way.
 
Kicheche ni kinyama fulani hivi kinachoruka ruka na kukimbia kimbia bila kueleweka.

Kwa hiyo kuna wale wenzetu , wasio muelekeo, msimamo, self worth, macho juu, akili fupi, bora liende etc hususan katika kasia ya mahusiano ya mapenzi, wanaitwa vicheche.

Variation ya wengine huwaita "chicken head" na "hood rats" ingawa kuna tofauti subtle.

Halafu, kama alivyosema Ice T katika "some of these ni**ers is b*tches too", kicheche si lazima awe mtu wa jinsia ya kike, hata mtu wa jinsia ya kiume mwenye tabia hizo ni kicheche tu, kwa sababu essence ya ukicheche ni tabia na wala si jinsia.Ila kwa sababu mfumodume unalinganisha ukicheche wa kuonja hapa na pale na urijali, vicheche wa kiume wanaweza kusifiwa kwa urijali wakati wa kike wakaitwa vicheche in a derogatory way.

alaaa kumbe!
Lakini hao hao wenye kufuata hao vicheche na kuwaconvince kwanini wageuke tena na kuwa brand wenzao?...

Huwa naona kuna unafiki fulani hapo. ... umemfukuzia mwenyewe kwanini umuite kicheche?
 
Huo si ndio mfumodume nilioungelea hapo juu?

Mwanamme akienda kwenye brothel si malaya, ni rijali, mwanamke anayefanya kazi brothel ndiye malaya. Hizi ni falsafa za mfumodume.

Na hata mwanamme anayejiuza kwa wanawake si malaya, ni Gigolo! A prestigious brand to some.

Go figure!
 
Wanawake wanaopewa haya majina ya Vicheche ni kutokana na tabia yao ya kuli...a na wanaume tofauti tofauti wa wakati tofauti au wakati huo huo. Kama mjuavyo kicheche mnyama hajatulia kabisa atakula mayai ya kuku, atakula vifaranga etc etc
 
hahaha kicheche nadhani ni kama vile wanavyoita mlupo ...
mtu ambaye hajatulia yuko huko na kule mradi haridhiriki na mtu mmoja
 
hahaha kicheche nadhani ni kama vile wanavyoita mlupo ...
mtu ambaye hajatulia yuko huko na kule mradi haridhiriki na mtu mmoja
Mlupo ndio nini tena FL1? This is new vocabulary to me. Please explain
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom