Kuua waandamanaji kuwekwa kwenye sheria ya maandamano.

kade030

Member
May 4, 2010
25
4
Serikali imepania kutunga sheria ya maandamano. Mimi hoja yangu si kujadili sheria hii mpya ambayo wanaJF mlishaijadili.

Mimi nawasilisha hoja mpya au kifungu kidogo cha hoja.
Huu ni wakati muhimu wa kudhibiti mauaji katika maandamano. Kama kweli muswada utafanikiwa kupelekwa bungeni basi itamkwe wazi kuwa mamlaka au mtu atakayeamrisha mauaji ya waandamaji a/watachukuliwa hatua madhubuti. Na adhabu yake iwe kifo au kifungo cha maisha.

Nawasilisha
 
Back
Top Bottom