Ntajikwaa bure ..........
hii thread nimeipenda maana imegusa swali ninalojiuliza kila siku ikiwa ni: Kwa nini? Inakuwaje mavazi ya aina hii yanaruhusiwa makanisani? Nimefikia mahali kuamini kuwa pengine mapadri na wachungaji wengine hushabikia mavazi ya aina hii kwa sababau huenda yanawa
sisimua ukizingatia kuwa wachungaji wa kiume nao ni wanaume kama wanaume wengine walio nje ya upadri au uchungaji. (sijawahukumu tafadhali)
ni kwa sababu hiyo naheshimu na kusifia mavazi ya waislamu (both men and women) wanapokuwa kwenye nyumba za ibada
St. Joseph Dsm wameongeza ubao kwenye mabenchi ya mbele kabisa ili kuzuia padre na watumishi wasione mamboz akina dada wanaokaa mabenchi hayo ya mbele.
Sasa kazi kwenye kifua maana nako.......
Sijui watafanyaje