Kutupa lundo la taka mtaani usiku!

Matango

JF-Expert Member
Jan 14, 2011
535
118
Kuna tabia imejengeka katika baadhi ya mitaa ya miji kadha. Usiku wale waliokosa ustaarabu ndio wanautumia kubeba viroba vya takataka na kuvimwaga katikati ya njia. tabia hii wana JF mnaizungumziaje ? Kwa mtindo huu kweli miji yetu itakuwa safi ?
 
Back
Top Bottom