Kutumia simu ya voda kama moderm

Mupirocin

JF-Expert Member
Jan 28, 2011
1,739
744
Nina cm ya Nokia 2690 natumia line ya vodacom. Nataka kuitumia kama moderm kwenye pc yangu. Naomben msaada wanajamii nifanyeje. Natarajia mtanisadia
 
Mbona mnapata shida wakati kuna voda shops na customer care services bure. Piga simu 100 au tembelea vodashop iliyo karibu na wewe. Hizi zimewekwa kwa ajili ya matatizo kama haya.
 
kama unafahamu umjulishe kwasababu kuuliza kwake huenda yuko mbali na hiyo huduma.
 
hakikisha ktk cm yako unaweza kupata internet kama haiwezekani ingia ktk website ya vodacom ktk pc ili kufanya registration Vodacom Tanzania - Homepage baada ya hapo hakikisha hiyo cm ina usb cable au pc yako ina bluetooth then fungua website ya nokia udownload nokia pc suite. kamilisha hayo kwanza...
 
Safi sana mkuu,umeniwahi!
akishindwa hapa basi simu yake ina matatizo!
 
Mbona mnapata shida wakati kuna voda shops na customer care services bure. Piga simu 100 au tembelea vodashop iliyo karibu na wewe. Hizi zimewekwa kwa ajili ya matatizo kama haya.

Vodacom watakacho mjibu ni kuchukua modem zao na sio vinginevyo,they are after money na sisi tuna tafuta how to make life easy!
Kwanini awe na modem na ana simu nzuri anayoweza kutumia kama modem?
 
Mbona mnapata shida wakati kuna voda shops na customer care services bure. Piga simu 100 au tembelea vodashop iliyo karibu na wewe. Hizi zimewekwa kwa ajili ya matatizo kama haya.

Wewe mgeni jukwaa hili? any way voda wanauza modem kwa ajili hiyo unategemea majibu gani toka kwao?.
Mkuu fanya kama ulivyo elekezwa.
 
hakikisha ktk cm yako unaweza kupata internet kama haiwezekani ingia ktk website ya vodacom ktk pc ili kufanya registration Vodacom Tanzania - Homepage baada ya hapo hakikisha hiyo cm ina usb cable au pc yako ina bluetooth then fungua website ya nokia udownload nokia pc suite. kamilisha hayo kwanza...
....Kwa kuongezea waweza kuhitajika kuweka dial up number. ni *99#
 
nenda kwny google halaf kwny sehemu ya kusearch andika free download nokia pc suite baada ya hapo nenda ukainstall kwny pc yako alafu nunua usb cable ya cm yako icwe ya kichina,iconnect kwny pc yako hapo utaweza kui2mia kama modem
 
Inabidi uunganishe na usb cable.
Hakikisha pc yako ina nokia pc suit program ndio utaweza kufanya hivyo.
 
Back
Top Bottom