Kutumia kondomu sawa na kupiga punyeto

How could you say or have this kind of ideas after all the campaigns against HIV/AIDS and unwanted pregnancies? Ina maana wewe ni mtu wa bare or yango na yango? Do, pole sana, lakini bahari umechafuka. Hata kama watu hawapendi, hawana jinsi!
 
sikubali..

Punyeto
1. uko mwenyewe
2. unafikiria kuhusu kitu fula ili "joy stick" isimamame (Men)
3. make unnecessary Noise ili blood pressure iongeze speed na kichocheo (some Men & Women)
4. unaangalia kitu fulani kikufurahishe au kukuongezea mawazo ambayo yanakufanya ujichue kwa nguvu. (porn)
5. una "fantasies" uko mahali fulani na mtu fulani anakufurahisha na kukuongezea utamu wa sex.....
6. mawazo mengi uliyonayo ni fake ... mkono unafanya kazi kuliko akili.....

Condom
1.Kweli uko hapo na mtu
2.kila ufanyacho ni cha ukweli...
3.akili na viungo vyote vina fanya kazi na si mkono tu tu..
4.Hu fantasies vitu sababu ni kweli kuna mtu ana kupa mambo yote ya idara ya nje na ndani..
5.ni kweli unakula pipi na makaratasi yake lakini kuna vitu kama, ku kiss, lick, suck, touch and so on...
6.concentration yako iko zaidi kwenye kufanya na kuhisi utamu wa sex kuliko kuangalia na kusikiliza

vyote ni vitu vizuri sana na zina faaida kuliko hasara
especially tukiingia kwenye mambo ya magojwa na mimba..
uko safe zaidi kufanya Punyeto au kutumi Condom..
so I'm gona give five stars for punyeto and Condom...:A S thumbs_up:
 
acheni kumshambulia kuuliza sio ujinga
akamuulize nani sasa kama nyie mnamshambulia???
maswali mengine kama haya ni ngumu kupeleka kwa mzazi..
khaaaaa
 
huyo hajauliza afrodenz, katoa statement ambayo ni very immature. angeuliza tungemjibu sawia ila yy kakosea kuingia
 
haya labda kweli katoa statement
na kama ulivyosema ni very immature
lakini statement nyingine zina ukweli fulani na ni vizuri
mtu akipata jibu au wazo hata moja tu.. labda ni wale wa miaka 20
wanadhani wamekuwa lakini la.. saa nyingine ni bora kumwambia rekebisha ulicho
andika kieleweke au fanya hivi upate mawazo zaidi.. mtu mwenyewe mgeni ..
samahani kama nimekukwaza
 
sikubali..

Punyeto
1. uko mwenyewe
2. unafikiria kuhusu kitu fula ili "joy stick" isimamame (Men)
3. make unnecessary Noise ili blood pressure iongeze speed na kichocheo (some Men & Women)
4. unaangalia kitu fulani kikufurahishe au kukuongezea mawazo ambayo yanakufanya ujichue kwa nguvu. (porn)
5. una "fantasies" uko mahali fulani na mtu fulani anakufurahisha na kukuongezea utamu wa sex.....
6. mawazo mengi uliyonayo ni fake ... mkono unafanya kazi kuliko akili.....

Condom
1.Kweli uko hapo na mtu
2.kila ufanyacho ni cha ukweli...
3.akili na viungo vyote vina fanya kazi na si mkono tu tu..
4.Hu fantasies vitu sababu ni kweli kuna mtu ana kupa mambo yote ya idara ya nje na ndani..
5.ni kweli unakula pipi na makaratasi yake lakini kuna vitu kama, ku kiss, lick, suck, touch and so on...
6.concentration yako iko zaidi kwenye kufanya na kuhisi utamu wa sex kuliko kuangalia na kusikiliza

vyote ni vitu vizuri sana na zina faaida kuliko hasara
especially tukiingia kwenye mambo ya magojwa na mimba..
uko safe zaidi kufanya Punyeto au kutumi Condom..
so I'm gona give five stars for punyeto and Condom...:A S thumbs_up:

khaaaaa.we binti wewe....kuna siku ntakuvika nishani kwa kuwa na mbinu za medani zilizotukuka kwa kiwango hiki...
 
hayo mambo uliyosema hapo juu kila mtu na mtazamo wake,but mwisho siku kila anapata alichotaka!
 
Back
Top Bottom