Kutumia condom.

Angalia sana na kuwa na tahadhari. Condom haipakwi mafuta ya aina yoyote, sio KY wala jelly ya aina yoyote. Yenyewe inakuwa tayari na mafuta yake. Hilo litakuwa ni tatizo la huyo GF WAKO. Inaonyesha K yake inakauka yale majimaji ya kwenye uke. Chunga UKIMWI UNAUA. Usitembee peku peku.
Acha kupotosha watu...
KY jelly inakubalika kama kilainishi cha condom na uke...
 
Ndugu wana Jf naombeni kufahamu hili jambo. Mimi na mpenzi wangu huwa tunatumia condom, sasa inafika wakati anasema condom inamumiza pale tunapokuwa kwenye mapenzi. Na huwa anajisikia cöndom kuisha yale mafuta yake ndo maana inamuumiza. Sasa nilikuwa nauliza kama kuna jelly au mafuta yoyote ambayo yanaweza kutumika kuifanya condom isiumize na ambayo haitaifanya ipasuke au kuleta madhara kwenye njia ya uzazi. Nawasilisha.
Pamoja na ushauri wa kumuandaa vema mpenzi wako angalia pia muda unovaa hiyo condom(usiivae mapema sana kabla ya intercourse) na pia kama chumbani mnatumia feni kupunguza joto wakati wa shughuli inaweza kuchangia pia kukausha hara yale majimaji.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom