Kutujazia FFU chuoni kwetu wakati ni kweli hatuna hata asilimia sifuri ya mkopo!.......

sijawah ona 1st yr washamba kama hawa wa mwaka huu hapa udsm,sijui ni utoto,yani hawana umoja kabisa,natabir tukiondoka sisi na hawa madogo wa 2nd yr,udsm kitakua chuo cha kilokole.

Facebook, Kiduku, Usharobaro, Bidhaa Za kichina na mengine mengi ndio yanawafanya hao madogo wawe madunya. Wapeni semina wajue chao ni kipi..
Wasipoelewa msibishane nao sana waacheni wakikosa hela ya kununua dawa za kichina na carolite watagundua wenzao walikuwa wanazungumzia nini
 
Wanapaswa wawalaumu wazazi wao.

Serikali haina uwezo wa kuwasomesha wanafunzi wote wanaoingia chuo kikuu. Bodi ya mikopo inaongozwa na bajeti na si siasa.

Nawatakieni Maisha Mema. MUNGU AWABARIKI.

Mungu akuongezee kwa kukosa Busara na Ubinadamu ulionao hata shetani hana. Wasalimie huko Mbinguni ambapo hampati shida na kila mzazi asomesha mwanae.
 
wawalaumu wazazi wao kwa lip? acha upumbavu! kama huwez kuchangia mada lala! Swala la mkopo mpumbavu kama wewe analipinga lakini la David Cameron unalikubal! Jirekebishe..@mzee
 
Wanapaswa wawalaumu wazazi wao.

Serikali haina uwezo wa kuwasomesha wanafunzi wote wanaoingia chuo kikuu. Bodi ya mikopo inaongozwa na bajeti na si siasa.

Nawatakieni Maisha Mema. MUNGU AWABARIKI.

Haya ni sawa na mawazo ya ****** ambaye hajui kwa nini Watanzania ni masikini. Think out of the box.
 
mwambie huyo aache ujinga! Ila sio kosa lake, bali ujinga wake kwani hakuhitimu hata darasa la 7,.! Maada za kisomi aachie wasomi wachangie,,.
 
Serikali inaongozwa na bajeti. Inakuaje mnataka kuingiza siasa mahali pasipostahili.

Si lazma wote kwenda chuo, rudini kijijini mkalime.
 
Serikali inaongozwa na bajeti. Inakuaje mnataka kuingiza siasa mahali pasipostahili.

Si lazma wote kwenda chuo, rudini kijijini mkalime.

hivi huwa mnahongwa sh ngapi hadi kuja kupost upupu humu jf?hzo pesa wanazolipana wao kama posho,safari zisizo na tija huko ughaibuni,kung'ang'ania kulipa deni hewa kampuni ya dowans etc,wangezidirect loans board,kuna mwanafunzi ambae angekua analalamika leo kwamba amekosa mkopo?acha kuleta ushabiki wa kijinga humu jf,serikali ina pesa,isiudanganye umma kwamba hakuna pesa za kufinance madogo vyuoni kwa sababu wananchi wanalipa kodi kwa ajili ya maendeleo na maendeleo yenyewe ni pamoja na elimu.
 
sijawah ona 1st yr washamba kama hawa wa mwaka huu hapa udsm,sijui ni utoto,yani hawana umoja kabisa,natabir tukiondoka sisi na hawa madogo wa 2nd yr,udsm kitakua chuo cha kilokole.

sio wote, 1st yr wengine wajanja, 40% siku ile walikuwa ni first year.
 
Nina swali wana jf,je na fani vipaumbele nao wamekosa ama;ni kua bodi haina data zao baadhi kama vile majina yao kua tofauti kwe vyeti,kukosekana kwa vyeti vya kuzaliwa,kuiba form za usaili,kuomba mkopo kwa mara ya pili,inakiuaje hii
 
Back
Top Bottom