Jamani hebu sikieni hii! Zaidi ya wanafunzi elfu moja waliojiunga mwaka wa kwanza mwaka 2011, hawana mkopo chuo kikuu cha Dar es salaam wataishije? wengine wamelazimika kughairi mwaka. leo walipoandamana kujua mustakabali wao, magari ya FFU ndio yaliyotumwa kutoa majibu.
Hivi kweli kama serilkali ya mwalimu isingewafadhili hao wanaowahujumu watoto wa wakulima leo wangekalia hivyo viti na kupulizwa na AC?
Hivi kweli kama serilkali ya mwalimu isingewafadhili hao wanaowahujumu watoto wa wakulima leo wangekalia hivyo viti na kupulizwa na AC?