Naomba kufundishwa namna ya Kutongoza Mwanamke

Mambo? Nimekupenda, ningependa uwe wangu tuwe wote maishani.
Easy like fighting with a drunkard!!!!:redfaces:
 
Hivi kutongoza ni:
-kudanganya?
-kushawishi?
-kulaghai?
-kurubuni? AU
-kutapeli?

Kama jibu lipo kati ya hayo maneno hapo juu, basi hiyo ni DHAMBI, na mungu hapendi!!!!!!
Kutongoza means all these kwa sababu zifuatazo;

-kudanganya: ni lazima umsifie hadi unampatia vile asivyonavyo. lazima utoe ahadi kaa za JK..... kadhalika lazima ufiche maovu yako yote uyajuayo - this means kudanganya.
-kushawishi: lazima umsisitize, umsaport kukubaliana nawe, umfariji na kumjengea mazingira ya kuona ni vema akubali.... mara nyingine unawatumia watu wenye influence katika akili yake.
-kulaghai : YESSS.... kwa sababu unakuwa unahubiri maneno, lakini unachofikiria akilini mwako ni tofauti kabisa.
-kurubuni : hii inaashiriwa na feelings za mtu baada ya mtongozaji kufanikiwa na kuchapa mwendo..... mara nyingi watu hujutia mahusiano yaliyopita.... na kwa mujibu wa taarifa nilizowahi pata kwa wadada, nyingi huonesha kuwa bikira nyingi hutokana na urubuni..... hata baadhi za mimba pia zipo.
-kutapeli : Yess.... mara nyingi mtu hutoa ahadi kibao huku akijua haviwezekani..... hivyo utapeli pia upo kwa sana.

:redfaces:Thanzx Konakali for ur bad test advice. Usauri wako ni uncooperative ila nikifanikiwa kumpata utakuwa my BEST MAN kwenye wedding yangu.
Nitakuchangia 100,000 za kitanzania, na kujitolea kukufundish on how to handle your marriage to last longer....
 
mmh...Elli u sound as BAZAZI/FATAKI.
Msaada gani huo wa kufanyia kitoweo changu kitarajiwa majaribio.
Act like a friend bwana.....Usisahau RAFIKI NI BORA KULIKO MWANASESERE

Jamani mpwa, umenifanya nicheke sana, well i was just kidding cause hata nature ya thread yenyewe ina deserve the same replies kwasababu, sijawahi ona mtu kafundishwa tongozi!! thats nature mpwa, sorry hope yameisha, nisamehe mpwa tuendelee na mada yetu, so uko serious!!
 
Hujaelewa swali. Anataka kujuwa namna ya kutongoza na si kama kutongoza ni dhambi au la.
Nyie nibanieni tu. Siku nikiwa fiti mtanikoma, hasa wale wenye mademu zao na sasa wananizungusha, hawataki kunipa miongozo ili niweze ku-breakthrough.
 
kumbe mko wengi msiojua kutongoza?
hili ni janga la kitaifa aisee...
No sio janga la kitaifa bali warembo wamezidi kutishia amani vidume, ukitaka kumtangazia penzi, anakuwa mkali huku kakaza mimacho. Na maringo mengi hadi pointi zote zinapotea.
 
Bila kujali age yake. Hivi ungekuwa wa kutongozwa ni wewe FL1. Ungemwambia akuanze vipi?

Dah Ngalikihinja unajua inategemea kila mtu anakuja na style yake na ni kitu kidogo sana kinamvutia mtu
mie nashindwa kutambua aje vip cause huko nishapita.
 
Mambo? Nimekupenda, ningependa uwe wangu. Tuwe wote maishani!
easy like fighting with a drunkard!!!!:redfaces:

Wewe Fab, ungetongozwa kwa style hiyo uliyoitaja ungekubali dear?
 
Kutongoza means all these kwa sababu zifuatazo;
-kudanganya : ni lazima umsifie hadi unampatia vile asivyonavyo. lazima utoe ahadi kaa za JK..... kadhalika lazima ufiche maovu yako yote uyajuayo - this means kudanganya.....
-kushawishi : lazima umsisitize, umsaport kukubaliana nawe, umfariji na kumjengea mazingira ya kuona ni vema akubali.... mara nyingine unawatumia watu wenye influence katika akili yake.....
-kulaghai : YESSS.... kwa sababu unakuwa unahubiri maneno, lakini unachofikiria akilini mwako ni tofauti kabisa.....
-kurubuni : hii inaashiriwa na feelings za mtu baada ya mtongozaji kufanikiwa na kuchapa mwendo..... mara nyingi watu hujutia mahusiano yaliyopita.... na kwa mujibu wa taarifa nilizowahi pata kwa wadada, nyingi huonesha kuwa bikira nyingi hutokana na urubuni..... hata baadhi za mimba pia zipo.....
-kutapeli : Yess.... mara nyingi mtu hutoa ahadi kibao huku akijua haviwezekani..... hivyo utapeli pia upo kwa sana....


Nitakuchangia 100,000 za kitanzania, na kujitolea kukufundish on how to handle your marriage to last longer....

Mmh! Ni wewe au photocopy? Huo upendo wa agape umeutoa wapi? Unichangie 100,000/- na marriage tuition! HUO NI URAFIKI WA MASHAKA.
 
Dah Ngalikihinja unajua inategemea kila mtu anakuja na style yake na ni kitu kidogo sana kinamvutia mtu
mie nashindwa kutambua aje vip cause huko nishapita

sorry FL1, hivi watu wazima hawatongozani eeeeh?, au zipo advanced approaches kwa watu wazima katika kutongozana!!!!!Nawasilisha tu mama!!!
 
wewe Fab, ungetongozwa kwa style hiyo uliyoitaja ungekubali dear?

hehe...sina mbwembwe mie,nakucheki kama naweza kuwa na wewe kisha nakukubali,kama siwezi nakuambia...hatuwezi kuwa pamoja maishani tunaweza baki kuwa marafiki!!:A S-alert1::A S-alert1:
 
hehe...sina mbwembwe mie,nakucheki kama naweza kuwa na wewe kisha nakukubali,kama siwezi nakuambia...hatuwezi kuwa pamoja maishani tunaweza baki kuwa marafiki!!:A S-alert1::A S-alert1:

hebu ni PM, nikupe hii style, yawezekana ukaipenda!
 
Jamani mpwa, umenifanya nicheke sana, well i was just kidding cause hata nature ya thread yenyewe ina deserve the same replies kwasababu, sijawahi ona mtu kafundishwa tongozi!! thats nature mpwa, sorry hope yameisha, nisamehe mpwa tuendelee na mada yetu, so uko serious!!

mpwa kwani mimi kukwama kwenye hiki kipengele ni noma? au ni jambo la kawaida? Mpwa unieleze ukweli kama nachoreka kwa kutojua kutongoza jamani.
 
Jamani short terms unataka kubanjua amri ya sita na kuondoka
Long terms una matarajio na muhusika hata speed inakuwa iko makini na tahadhari

na utongozaji wake ni tofauti?
BTW: Siku hizi hakuna kutongoza kwa maneno.....actions....
 
Back
Top Bottom