Kutongoza ni Haki ya Kiumbe wa Kiume tu?

Komredi wewe umewahi tokewa na she?
Kama mara ngapi vile?

Oooh Komredi...mbona mara kibao tu. Matter of fact...sikumbuki mara ya mwisho mimi kutongoza demu ilikuwa lini. Sitashangaa kama hata kutongoza kwenyewe nimesahau (as if kuna formula ya kutongoza).

Sijui ni nini tu Komredi...lakini huwaga inatokea mademu wananizimia tu wenyewe....kuna baadhi wamewahi kuniambia eti ni jinsi ninavyo ji "carry".....wengine wamewahi kuniambia "swagger" yangu inavutia (inawavutia).....so I don't know man....
 
Hahahaha si mchezo Komredi
Lakini mademu wa kibongo si unajua vitu wanavyo fagilia? Bila shaka unavyo ndo maana wanajileta wenyewe.
Bravo sana komredi, all in all mademu wakipigana juu yako yaani wawe wanakugombania dah bonge la ujiko.
 
Komredi...ofu kozi inanipa bichwa sana kuona mademu wananizimia lakini hiyo haimaanishi kwamba ni rahisi kupata good match iliyo compatible na wewe. Mwanzoni mkiwa wapya karibu kila kitu huwa mwanana lakini baada ya muda mnaanza kushindwa kuvumiliana vikasoro mlivyonavyo. Kwa mfano mimi kwangu usafi uko juu kwenye orodha ya vitu muhimu ninavyozingatia. Pia huwa sipendi kubusiana....huwaga ni mwepesi sana wa kuona kinyaa. Sasa ukute demu mwenyewe hafikii viwango vyangu vya usafi wa kinywa...akitaka kunibusu namwonesha kabisa kuwa siko interested....sipendi kulambana ulimi hasa pale ambapo demu hajapiga mswaki na ku floss kwa muda mrefu (masaa 5 na zaidi)....ktk mazingira kama hayo lazima atajisikia kuwa simjali na ndio mwanzo wa lawama na maengineyo....
 
Komredi...ofu kozi inanipa bichwa sana kuona mademu wananizimia lakini hiyo haimaanishi kwamba ni rahisi kupata good match iliyo compatible na wewe. ..

Hehehehe kuna kitu wadau wanasema unaweza ukampenda demu yaani umezimika kiukweli kweli lakini yeye hajakuzimia kabisaaa alafu kuna ile demu anaweza kukuzimia kabisaa yaani halali bila kusikia sauti yako lakini wewe ndo hivyo unampotezea kabisaaa.
Unajua kumatch na demu kweli ni kazi ngumu sana ndo maana mm naishia kuhit na kurun maana nikazi si ndogo.
Usafi Komredi ni jambo la msingi sana la muhimu achilia mbali kinywa hata kwenye mashine nako unakuta mwingine kinywa msafi lakini mashine dah inatema balaa maji taka kitendo cha kuvua kufuri rumu inakuwa imesha haribika kwa harufu nzito. Baada ya kudadisi mda mrefu niliambiwa kuwa eti wengine wanaona wakisugua kwa ndani inatekenya kwa hiyo wao usafi ni juu juu tu.
Kweli komredi usafi ni jambo la muhimu na la msingi.
 
Heheheheheee...unajua huu msamiati wa kuiita nyau "mashine" unanichekesha sana....eti "mashine"......ahahahahahahaaaa.....nakipenda sana Kiswahili aisee maana mtu unaweza ukacheza na maneno tani yako.....
 
Hehehehe kuna kitu wadau wanasema unaweza ukampenda demu yaani umezimika kiukweli kweli lakini yeye hajakuzimia kabisaaa alafu kuna ile demu anaweza kukuzimia kabisaa yaani halali bila kusikia sauti yako lakini wewe ndo hivyo unampotezea kabisaaa.
Unajua kumatch na demu kweli ni kazi ngumu sana ndo maana mm naishia kuhit na kurun maana nikazi si ndogo.
Usafi Komredi ni jambo la msingi sana la muhimu achilia mbali kinywa hata kwenye mashine nako unakuta mwingine kinywa msafi lakini mashine dah inatema balaa maji taka kitendo cha kuvua kufuri rumu inakuwa imesha haribika kwa harufu nzito. Baada ya kudadisi mda mrefu niliambiwa kuwa eti wengine wanaona wakisugua kwa ndani inatekenya kwa hiyo wao usafi ni juu juu tu.
Kweli komredi usafi ni jambo la muhimu na la msingi.

Fide,

Yaani kwa vituko tu, wewe ni Kigoma mwisho wa reli!!!
 
Duh, kuna nchi ambazo tamaduni ziko kinyume sana.Kwa mfano India wasichana hawaoni soo kumtokea jamaa,hasa wasichana wanaotoka Kashmiri na Jimbo la North East.Kaazi kweli

Kenya,sasa wanafika mbali..anyway madem wanaotoka kisii na Luos na wakamba hawaoni hatari saana kutongoza
 
Nyamayao, Preta, WS etc mko wapi mchangie mada ili kuwepo na uwiano mzuri? Miye binafsi siifagilii ila kutokewa nieshawahi mara kadhaa na bahati mbaya sikuchomoa hata moja. Pomoja na hayo mahusiano hayo ndio yaliyodumu zaidi ktk orodha ya mahusiano niliyowahi kuwa nayo ukiacha my wife ambaye nianza miye. Nipeni hoja enyi wa jinsia ya upande wa pili.
 
Bazazi nawe.Mbona unairudisha dunia nyuma?habari ya kutongoza ni kwa pande zote mbili.
Ni kweli WS unachosema? Mimi siamini kwani hata kwa wanyama mfano kuku Jogoo, Mbuzi mwangalie Beberu ndiye hutongoza nawe unasema ni pande zote. Siamini
 
Bazazi

Jana ktk EATV "Strictly Kenyan" kulikuwa na mada kuhusu wanawake wa Kenya kuanza kwa kasi ya ajabu kutongoza wanaume. Wahojiwa walikuwa wanaume na wanawake; na wote waliliona kuwa ni jambo la kawaida kabisa na kuliunga mkono. Lakini miye BAZAZI nina wasiwasi kama huo ni mpango wa YEHOVA Mungu. Ukiangalia wanyama na ndege wote utaona kuwa watongozaji ni wakiume. Kwa sababu hiyo ndio maana kwa Binadamu wanawake ni wazuri ili wawavutie wanaume lakini wanyama/ndege kwa vile hawana uwezo wa kuongea Mungu aliwafanya wa Kiume kuwa wazuri ili kuwafutia wanawake. Naomba kukosolewa kwa haki. Nawakilisha

Ukiangalia wanyama na ndege wote wanaishi kwenye viota, nyika na mapango , meaning hawataki/ hawawezi ku manipulate environment to their own good.Sasa unataka humanity yote irudi kwa wanayama na nege? Kuishi katika viota, nyika na mapango?
 
Bazazi

Ukiangalia wanyama na ndege wote wanaishi kwenye viota, nyika na mapango au nyika, meaning hawataki/ hawawezi ku manipulate environment to their own good.Sasa unataka humanity yote irudi kwa wanayama na nege? Kuishi katika viota, nyika na mapango?

alikuwa anaamanisha we are the same species ragardless,wengine wapo baharini,kny mapango etc
 
alikuwa anaamanisha we are the same species ragardless,wengine wapo baharini,kny mapango etc

What do you mean by "we are the same species" ? Scientifically or how? Scientifically we are not the same "species" by the very definition of "species", that is why "homo sapiens sapiens" and "Columba livia" cannot procreate.

In any other way, the rest of the inhabitants of planet earth cannot reason, record and communicate at the same level as "homo sapiens sapiens"

So what are you talking about with this "We are the same species" talk? Some people even doubt - unscientifically of course- that not all "homo sapiens sapiens" are the same species.

Do you know what is the definition of "species"?
 
In any other way, the rest of the inhabitants of planet earth cannot reason, record and communicate at the same level as "homo sapiens sapiens"

Stephen Hawking says there are aliens among us. Aren't they inhabitants of planet earth?
 
basi ni poa tu kama fab kaona hilo poa basi shwanga lakini labda watakua wanatumia style nyingine tofauti na sie mashababi
Conquest- end is not like story for thinkers knows
 
Back
Top Bottom