....unyuzi mzuri na mdahalo wake nitaufuatilia baadae...khaa...
mie niliyetongozewa na mashenga kwa barua ndani ya kitambaa cheupe
acha nikae pembeni kwanza nisome maujuzi...
Kuna jirani yangu alikosa mke kwa kukosa hata TV getoni kwake, wazazi wakasema huyu jirani yangu ni mhuni wakamtimua anaoaje hana hata asset ndani ya nyumba?
tatizo wanaume wa sasa hawajielewi wala hawajiamini wanapenda kuchunwa chunwa tu
wanapenda kuonekana wako juu so wanapata wanawake wenye mawenge hvo hvo ie hela bandia mkufu bandia
mtu na akili zako huwezi kukodisha ambulance na eti wanawake mtaani wakukubali na hao wanaoshobokea ambulance wote akili zenu mbovu
wanawake wenye akili wala hawaangalii mambo makubwa kuna vitu tu basic watu wanaangalia
Shikamoo dada mkubwa,hii ya leo kali dada,hope ujumbe umewafikia,japo ndio hivyo siku hizi mambo yamebadilika na pesa imechukua nafsi yake no matter wat kind of personality watu hawajali iwe kuna upendo au hakuna upendo cha msingi pesa ipo na jamaa wanakuwa uhakika wa kumpata yoyote,cha msingi wadada tusiangalie pesa zaidi,upendo ndio unamata pesa zaweza kuisha na zinaweza kutafutwa pia ila upendo unadumu na kwa pamoja mtatafuta pesa!
Mabagala umeoa nini?? lol... maana ukioa kutongoza tena hakuna umuhimu....
Hahahaha umenikumbusha Mwanahawa wa Tandale kwa Mtogole i see nilitua mabegi kwake toto la kitanga full maufundi
Ukute mambo kumbe yalikuwa hayaja kaa vizuri.
Baada ya mwaka unamsahau.
Maisha haya ajuae ya kesho italeta nini hakuna bana.
Hamna haja ya kumponda mtu kisa leo ni kabwela, na ukasahau kuwa ni hard worker.
Kwenye hili la kuchunwa inategemea kunalitazama vipi. Ukiniuliza mimi, nitamuhesabu mwanamke kama 'kamchuna' mwanaume endepo mwanaume huyo amemuhonga vitu/pesa ili 'alale' nae na somehow mwanamke akapiga chenga. Lakini kama mwanaume anatoa pesa na kupata anachotaka...sioni ni vipi utasema 'amechunwa'!...to me its just another arm's length transaction.
Halafu, kama tunakubaliana na hoja kwamba kiuhalisia siku hizi wanawake walio wengi ni materialists, then unachokisema hapa ni kuwa siku hzi kuna wanawake wachache sana wenye akili?
Unayempenda kama huyu,yeye wala hana habar nawe,unafurai kupata huduma yake,bt yeye kufike kilelen mpaka amuwaze bwana wake mwingne.
tatizo wanaume wa sasa hawajielewi wala hawajiamini wanapenda kuchunwa chunwa tu
wanapenda kuonekana wako juu so wanapata wanawake wenye mawenge hvo hvo ie hela bandia mkufu bandia
mtu na akili zako huwezi kukodisha ambulance na eti wanawake mtaani wakukubali na hao wanaoshobokea ambulance wote akili zenu mbovu
wanawake wenye akili wala hawaangalii mambo makubwa kuna vitu tu basic watu wanaangalia
Kwenye hili la kuchunwa inategemea kunalitazama vipi. Ukiniuliza mimi, nitamuhesabu mwanamke kama 'kamchuna' mwanaume endepo mwanaume huyo amemuhonga vitu/pesa ili 'alale' nae na somehow mwanamke akapiga chenga. Lakini kama mwanaume anatoa pesa na kupata anachotaka...sioni ni vipi utasema 'amechunwa'!...to me its just another arm's length transaction.
Halafu, kama tunakubaliana na hoja kwamba kiuhalisia siku hizi wanawake walio wengi ni materialists, then unachokisema hapa ni kuwa siku hzi kuna wanawake wachache sana wenye akili?
Hii utaistukia pale utakapo kuta V8 limepaki kwenye Guest house ambayo vyumba vyake ni Single=Tshs5000 Double=Tshs7000 na jamaa anakamua kabint kazuuuri.
Unajua uzi huu, huu umenigusa sana. Kuna jamaa nilikuwa nasoma naye Chuo Mzumbe miaka hiyo. Wakati wenzake tunahangaika kutafuta kampeni pale chuoni yeye alikuwa hajiangaishi hata siku moja, basi ukimuhadithia kwamba nimemtokea mdada fulani nimemuambia yaliyo moyoni na kanitosa, alikuwa akicheka sana huku akidai yeye hajawahi pata uchungu wa kutoswa kwani kila mdada anayemfuata humpata lakini siyo pale chuoni, yeye alikuwa akienda kijiji kimoja kiitwacho Changalawe kwa waliosoma Mzumbe watakumbuka(Chang'), huko alikuwa anajiopolea wanakijiji ambao walikuwa wanajisikia fahari sana kutembea na Mwanachuo na aliwalenga zaidi wajane na wamama waliachwa na waume zao.
Wazazi siku zote hawataki binti wao ateseke kesho arudi nyumbani kuomba kodi,chumvi n.k
Ndo maana wanaamua kumwekea muoaji kauzibe
....unyuzi mzuri na mdahalo wake nitaufuatilia baadae...khaa...
mie niliyetongozewa na mashenga kwa barua ndani ya kitambaa cheupe
acha nikae pembeni kwanza nisome maujuzi...