wape somo sis asha dii mtu anakuja kukutongoza ana sura kama amelipuliwa na baruti bwana khaaaaaaaaaaaaa
Taratibu wewe Bebii una maana sisi wenye hizo sura hatuna haki ya kupata kile roho inapenda?
wape somo sis asha dii mtu anakuja kukutongoza ana sura kama amelipuliwa na baruti bwana khaaaaaaaaaaaaa
Mi nadhani mambo yamekuwa vice versa sana miaka hii...Kwa upande wangu wasichana wengi mi ndio wanan'tongoza!!Halafu mie naletaga pozi balaa, yaani they are so cheap!!
Ngoja n'kusimulie!! Siku moja nilikuwa nasafiri kwa meli nikitoka mtwara kwenda dar, kulikuwa na kibint flani (mgeni alifikia kwa jirani yetu) naye alisafiri siku hiyokwa meli, tukawa pamoja!! Basi ile nit yule binti uvumilivu ukamshinda, akaniapproach!!
Kwenye mastory kwa kuwa nilikuwa simfahamu vizuri, nilimuuliza niambie tukio ambalo hutaweza kulisahau kwenye maisha yako, akaniambia alishawahi kubakwa Moshi huko, na akanipa full mkanda ulivyokuwa. Mi nikabushit.
IN GENERAL NI KWAMBA MABINTI WENGI SIKU HIZI HUTUMII NGUVU KUWA NAO.
Jamaa wanakula sio jobless tu hata watumishi na wafanyakazi
Yupo na mV8 anasimama kituoni anachagua mke mzuri mzuri anamwita anampa lift huku na huku anachukua mawasiliano akitoa tu amekwisha
mwaka juzi mdogo angu alikuwa anaolewa, maza akamwambia, "mchumba wako ana nyumba,gari,kazi, mradi wa biashara?.
Inshort anajidhihirisha kuwa yeye ni MR. Hit & Run
Kwenye personality hapo tuko wote hilo halina haja hata ya kuliezea, but what i can tell you there's a trend which has already shifted from those ladies wa kimjini mjini...imevuka mpaka kwa watu ambao unaona kabisa huyu target yake ni kitu gani fulani anaponitongoza/anapotongozwa, what do i want tukubaliane tu ingawa when it comes to percentage hatuwezi kusema ni kiasi gani lakini kwa kiasi kikubwa sasa hivi the more money you have the more attraction you will get tena bila ya wewe kuhitaji kutongozwa badala yake wewe ndio utakuwa unatongozwa
mv8 wenyewe unakuta kaambiwa akafanye service.
Yeye service ni kuchukua wake za watu vituo va magari.
Mi nikisha pita mara moja namfungia vioo sipendi mizinga nikurudia basi alikuwa mtamu
paragraph nzima umeona hicho tu,wanawake bana,najua hakuna kitu mnachukia kama hicho kulambwa na kutupiliwa mbali,lakini hayo si mambo ya kawaida mjini? Na kinamama siku hizi si ndo zenu,mnatutumia weeeeee tunawanunulia magari,tunawajengea,wadogo zenu tunawapelekea ulaya and then.....only kuanza kutukatia simu au kibaya zaidi tunawafumania na visakapoko ,kumbe hela yangu unavihonga vidampa,lol! Mi huwa nachoka kabisa na mambo haya.
paragraph nzima umeona hicho tu,wanawake bana,najua hakuna kitu mnachukia kama hicho kulambwa na kutupiliwa mbali,lakini hayo si mambo ya kawaida mjini? Na kinamama siku hizi si ndo zenu,mnatutumia weeeeee tunawanunulia magari,tunawajengea,wadogo zenu tunawapelekea ulaya and then.....only kuanza kutukatia simu au kibaya zaidi tunawafumania na visakapoko ,kumbe hela yangu unavihonga vidampa,lol! Mi huwa nachoka kabisa na mambo haya.
aaah! Jamani anaweza asiwe na kitu lakin ya guest akawa na pesa... alafu kuna wale ambao huomba getto za washikaji.....lol
Mimi siwezi mlaumu.ila hapa tunazungumzia attracting tactics. Ndo mana nikataja icho kigezo.
Kimewatafuna wengi sana.
mwaka juzi mdogo angu alikuwa anaolewa, maza akamwambia, "mchumba wako ana nyumba,gari,kazi, mradi wa biashara? Jibu ni alikuwa na kiwanja cha kujenga, na kazi tu.
Wakati huo jamaa alikuwa kweli tukisema msimamo wa maisha, alikuwa hana, kwanza anatumia gari la mdogo angu kama lake, kapigika mbaya.
Mungu MKUBWA.Jamaa alipata kazi ingine nzuri last year,sasa kafungua biashara mbili ameenga nyumba nzuri tu. Akanunua gari nzuri prado model mpyA.
Msimamo alikuwa HANA. Lakini with time mbona ulikuja.
Mkisema mnaangalia vigezo, MTAPOTEA. maisha YANABADILIKA.
Hii utaistukia pale utakapo kuta V8 limepaki kwenye Guest house ambayo vyumba vyake ni Single=Tshs5000 Double=Tshs7000 na jamaa anakamua kabint kazuuuri.mv8 wenyewe unakuta kaambiwa akafanye service.
Yeye service ni kuchukua wake za watu vituo va magari.
Bado hujakamatika vizuri. Kuna mahali ukipita, unaweka kambi kabisa.
Wala sio sababu anakupenda, ni sababu ya utamu na UFUNDI wake, ambao unakuta ni adimu kuupata.
Na ukirudi vibaya, UNAFILISIWA.