“KUTONGOZA” - Kukubaliwa AMA Kukataliwa…. What gives??

nimempeda binti fulani lakini nashindwa kumwambia nipeni mashauri ya jinsi ya kumtokea na kumwambia. Sipendi jokes nipeni darasa
 
Ok... Hiyo simple weka picha yake hapa na unipe namba yake nikufanyie mpango mzima...nimwambie nani kanituma vile...!!
 
zipo thread nying sana humu za namna ya kutongoza. Zitafute.
 
mengine yote haya ni kupoteza mda tu pesa ndio mwisho wa udhia wote huu!!!
 
Back
Top Bottom